Habari wakuu,
Kumekuwa na mtindo mpya wa kuchoma chapati nyingi kwa wakati mmoja kwenye 'maframpeni' makubwa sehemu za migahawa mikubwa ili kuweza kukidhi huduma kwa wateja kwa haraka.
Lakini...
Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya..
Mtu mwenye ugonjwa huu huwa...
Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani.
Nimetumia dawa kadhaa...
Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna...
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa...
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa...
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga.
Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda...
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni...
Habari wataalamu.
Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa...
Wasiseme sikuumwa.
Usiku wa saa nane ,imepigwa hii simu
Ni kwasababu ya mane, nimeridhi kunywa sumu
Nimeishi kama bene , sikuwa na umuhimu
Wasiseme sikuumwa, Abuu hili liseme
Sikulala miezi...
Habari za muda huu,
Naombeni msaada Mimi nimuajiriwa katika tasisi binafsi ila kutokana na matatizo ya maumivu ya UTI wa mgongo niliomba ruksa yakwenda kufanya hicho kipimo cha MRI mwanza ila ni...
📢📢Wananzengo mpo📢📢
Uzazi wa mpango wa asili
✨Kukwepesha
Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au...
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?
Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona...
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.
Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za...
Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏
Pm kwa...
Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini...
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu...