Habari wapendwa, mimi ni Kijana wa umri wa miaka 27, Naishi Dar ingawa kiasili si mtu wa hapa, Natokea mikoani. Jambo lililonileta hapa ni moja kuomba ushauri.
Kifupi nimekuwa na mahisiano ya...
Nasumbuliwa na jino limetoboka mm sitaki kulitowa naomb tiba ya kienyeji kwamaan wanasema watalam jino ukilitowa usipital linaanz lingine na kwel nimetowa jino la kwanz na saiz nasumbuliwa la pili
Salam wandugu.
Natumai mu-wazima nyote. Shukran, dhumuni la bandiko hili ni kama kichwa cha hii thread kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kujuzwa kwa sehemu ya Morogoro ni wapi naweza kupata huduma...
Sorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
Ndugu zangu
Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo...
Tatizo la Bp kwa sasa kwa miaka ya hivi karibu limeonekana kukua kwa kasi zaid ukilishana na kipindi cha nyuma, hii ni kutokana mfumo wa maisha tunayo ishi sio mzuri hasa katika mfumo wa...
wakuu kama kichwa kinavojielewa naomba kujuzwa na anaye fahamu ni wapi Dodoma mjini wanatoa huduma ya kuweka meno ya bandia ya kudumu
NB ukinitajia na bei nitashukuru zaidi
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo...
I have been using tramadol since ages and I am now out of it just because my doctor thinks that I am getting addicted to it so he has prescribed me Tapentadol, But it is not working for me at all...
Habari wakuu.
Huwa nikisoma vikaratasi vya maelekezo ya dawa, nakutana na ingredients zilizotumika kutengeneza hiyo dawa.
Najiuliza, wanaotengeneza dawa wametengeneza hiyo dawa kwa kutumia...
Ni kuhusu HIV, wengi huu ugonjwa umetuathiri kama sio sisi basi ndugu zetu wa karibu. ARV’s kwa kweli amekuwa mkombombozi na wengi wanaishi kwa miaka mingi tena wakiwa na afya njema.
Ukiwa...
Habari...
Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20 kwa wiki mbili sasa.
kwa siku nakunywa maji lita mbili na nusu mpaka tatu, kiufupi najitahidi sana kunywa maji hata kama sina...
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu age 26 kwa kifupi nina maisha mabaya mno especially kwenye saikolojia kwan nimekuwa nikisumbuliwa sana na msongo wa mawazo, napiga sana punyeto ntajitahid kuacha ...
MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA
Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Sijui hata nianzie wapi muweze kunielewa. Mimi ni kijana umri 26 muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nipo tu nyumbani...