Habari, hv zle sindano sjui za tetanus, huwa znachomwa eneo la kidonda ama kwa tako ili nijiandae, maana mm n muoga wa sindano. Na yamenkuta leo, na huwa n bure hospitali??
By: Pharm Michael Y. Bajile
Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma...
WanaJF habarini za leo!Ninaomba mwenye kujua huu ugonjwa wa kupasuka sehemu za mdomoni unatibiwaje naomba msaada!Mdomo unajichana na kutoa damu hasa kipindi hiki cha baridi!!!MSAADA TAFADHALI!!!
CT Scan ni Nini?
CT Scan, kifupi cha "Computed Tomography Scan," ni teknolojia ya kisasa ya uchunguzi inayotumia mionzi ya X na kompyuta kuunda picha za sehemu ya ndani ya mwili. Tofauti na X-ray...
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa...
Wataalam habari za asubuhi?
Naomba msaada wa elimu katika hili.
Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital...
Punyeto/kujichua ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa...
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga...
Habari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito...
Fangasi Kwa Mwanaume:
Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida albicans. Maambukizi haya huathiri ngozi ya uume na...
Kiukweli napata changamoto kubwa sana pia nakosa kujihamini kwenye tendo sababu ya dhakari[uume] wangu umepinda kuelekea chini.
Nakuwa mnyonge kwenye tendo maana baadhi ya mikao siwezi kupaform...
Mdogo wangu anasumbuliwa na tinnitus kwa muda sasa karibu miaka 8, tumejaribu kila njia lakini anasem bado.
Kwa anefahamu matibbu ya tinnitus msaada
Tumejaribu kununua hearing aid lakini hkuna...