Msaada: Nikijaamiana na mwenye VVU huchukua muda gani mimi kuanza kuona dalili?

Ni punde baada ya kujua ana UKIMWI.

Yaani hata ukipata mafua ya kawaida, mwili unajiona kabisa ka umeshaunasa. Kumbe mwili umejijengea hofu tu.

Turudi kwenye mada;
Umejaamiana naye lini? Kama ni chini ya masaa 72 yaliyopita, basi wahi kituo cha afya upewe vidonge vya PEP vitakavyokukinga.

Kuhusu dalili, zipo katika hatua tatu. Lakini nenda ukapime upate uhakika zaidi na afya yako. Usisubirie dalili kwani unajiweka katika nafasi mbaya zaidi.

Kwa baadhi ya watu ndani ya wiki mbili za kwanza kipimo kinaweza kuonyesha. Lakini uhakika zaidi ni ndani ya miezi mitatu.

Huenda hata hujaunasa. Ni hofu yako tu.
 
Wiki mbili. Utaanza kupata mafua homa etc

Wahi hospitali kama haijapita masaa 72 toka kujamiiana na muathirika. Upate pep. Kama anatumia dawa vizuri viral load yake haitokua kubwa sana PEP itakusaidia
 
Hakika utakufa tu. Kwa nini ukakubali ngono zembe?? Hukusikia tangazo la ndomu?? We kwisha habari yako pumbaaavuuu
Hapana sijajua km muathirika ila taadhar baridi la dsm huenda likaniponza ndio mana nataka nijue mapema
 
Ni punde baada ya kujua ana UKIMWI.

Yaani hata ukipata mafua ya kawaida, mwili unajiona kabisa ka umeshaunasa. Kumbe mwili umejijengea hofu tu.

Turudi kwenye mada;
Umejaamiana naye lini? Kama ni chini ya masaa 72 yaliyopita, basi wahi kituo cha afya upewe vidonge vya PEP vitakavyokukinga.

Kuhusu dalili, zipo katika hatua tatu. Lakini nenda ukapime upate uhakika zaidi na afya yako. Usisubirie dalili kwani unajiweka katika nafasi mbaya zaidi.

Kwa baadhi ya watu ndani ya wiki mbili za kwanza kipimo kinaweza kuonyesha. Lakini uhakika zaidi ni ndani ya miezi mitatu.

Huenda hata hujaunasa. Ni hofu yako tu.
Nimavaana na uyu jimama Jana usiku leo siku nzima nawazia mana ni baamedi
 
Mkuu ukute alipata nguvu kidogo tu ya kuandika uzi, kusoma comments zenu tu atakuwa ameshazirai.
Pombe na baridi vimeniponza Jana ila mungu anisaidie mana majukumu nilio nayo nikiupata sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom