Maumivu wakatati wa kukojoa

Maumivu wakatati wa kukojoa

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari wakuu,

Week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo, hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara wakaniandikia dawa hizi hapa Azithromycin 500mg kwa siku tatu nimemaliza dozi jana asubuhi lakini dalili zile bado zipo na leo asubuhi nimejaribu kuangalia kwenye uume nimeona kuna vimajimaji kwa mbali pia kama kuna visindano vinachoma kwenye njia ya mkojo.

Swali je, niende hospital leo ikiwa nimemaliza dozi jana au nisubiri kwa muda alafu ndio nirudi tena hospitali?
 
Habari wakuu week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo , hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara wakaniandikia dawa hizi hapa Azithromycin 500mg kwa siku tatu nimemaliza dozi jana asubuhi lakini dalili zile bado zipo na leo asubuhi nimejaribu kuangalia kwenye uume nimeona kuna vimajimaji kwa mbali pia kama kuna visindano vinachoma kwenye njia ya mkojo.
Swali je niende hospital leo ikiwa nimemaliza dozi jana au nisubiri kwa muda alafu ndio nirudi tena hospitali?
Swali la msingi, unatumia mitandao yote kwa pamoja bila kujisafisha kwanza?
 
ndio mkuu niliwahi fanya hivyo kama mara tatu hivi , pia ni muathirika wa punyeto lakini kwa sasa nimeamua kuacha baada ya kutokewa na hii hali
 
Hivyo hiyo dose haitoshi, inatakiwa upate antibiotics ambazo ni za uhakika na kwa kama wiki mbili. Hako ka mchezo ni katamu ila madhara yake ni hiyo UTI. Ukienda Tigo lazima usafishe dushe lako na sabuni ndipo ujimwage kwa Voda. Ingawa utamu wa voda-tigo-voda ni raha sana, malipo ni hayo na ukizembea figo zinashambuliwa. Pole sana
 
kwahiyo mkuu nirudi leo hospital au nisikilizie dozi maana nimemaliza jana tu?
 
Habari wakuu week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo , hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara wakaniandikia dawa hizi hapa Azithromycin 500mg kwa siku tatu nimemaliza dozi jana asubuhi lakini dalili zile bado zipo na leo asubuhi nimejaribu kuangalia kwenye uume nimeona kuna vimajimaji kwa mbali pia kama kuna visindano vinachoma kwenye njia ya mkojo.
Swali je niende hospital leo ikiwa nimemaliza dozi jana au nisubiri kwa muda alafu ndio nirudi tena hospitali?
Una wapenzi wangapi unaokulana nao?
Mara ya mwisho umekulana lini?
Ulikulana na kinga au bila kinga?
Je una kawaida ya kutumia kinga?
Je kwenye ngozi ya uume kuna mabadiliko yoyote unayaona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye ngozi ya uume hakuna mabadiriko, situmiagi kinga mara ya mwisho kama week mbili nyuma kukutana na mwanamke pia sina mpenzi wa kudumu ila sasa nimeamua kuwa single hadi pale ntapopata mwenza wa kuoa
 
Hiyo itakuwa gonorrhea.

Kinachofaa kama utaweza kwenda hospital kubwa wakufanyie "pus swab for culture and sensitivity"

Kisha uanzishiwe antibiotics na NSAIDs

Lakini kama hauna uwezo wa kwenda hospital hizo, unaweza kwenda kwenye ndogo wakuandikie antibiotics empirically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo mkuu nirudi leo hospital au nisikilizie dozi maana nimemaliza jana tu?
Kiboko yake ni Levofloxacin 500mg asubuhi na jioni kwa wiki mbili. Uhakikishe unakula kweli kweli! Usinywe pombe na maziwa. Mwanaume pambana
 
kwenye ngozi ya uume hakuna mabadiriko, situmiagi kinga mara ya mwisho kama week mbili nyuma kukutana na mwanamke pia sina mpenzi wa kudumu ila sasa nimeamua kuwa single hadi pale ntapopata mwenza wa kuoa
Na pia inabidi na wapenzi wako nao watibiwe

La sivyo mtaendelea kusambaziana ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo itakuwa gonorrhea.

Kinachofaa kama utaweza kwenda hospital kubwa wakufanyie "pus swab for culture and sensitivity"

Kisha uanzishiwe antibiotics na NSAIDs

Lakini kama hauna uwezo wa kwenda hospital hizo, unaweza kwenda kwenye ndogo wakuandikie antibiotics empirically

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaruka ukuta peku
 
Huyu anaruka ukuta peku
Na ndio sababu.

Watu wanaambukizana magonjwa kichizi.

Halafu wengine wanafanya kinyume na maumbile.

Wanatoa uchafu kwenye njia ya haja kubwa wanaupeleka kwenye uke halafu wanategemea magonjwa ya huko chini yatawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio sababu.

Watu wanaambukizana magonjwa kichizi.

Halafu wengine wanafanya kinyume na maumbile.

Wanatoa uchafu kwenye njia ya haja kubwa wanaupeleka kwenye uke halafu wanategemea magonjwa ya huko chini yatawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fikiria ati mtu anaweka ulimi katika Tigo (kama binti ana amoeba au hata homa ya matumbo) utasalimika. Mtu unaingiza ulimi katika K? Ila hii ya kula Tigo na voda bila kujisafisha dushe nayo ni kiama na huyo jamaa ana dalili ingawa nikiri ina raha yake
 
Hiyo itakuwa gonorrhea.

Kinachofaa kama utaweza kwenda hospital kubwa wakufanyie "pus swab for culture and sensitivity"

Kisha uanzishiwe antibiotics na NSAIDs

Lakini kama hauna uwezo wa kwenda hospital hizo, unaweza kwenda kwenye ndogo wakuandikie antibiotics empirically

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ntafanya hivyo
 
Dozi nimemaliza jana tu mkuu , ndio ni ya siku tatu nilipe wa.
Kwanza tambua hyo condition ulonayo inatibika kbs tatizo umetumia nusu doz haiwez malza tatizo ungetumia kwa cku 10 ingesaidia..

Ila fanya hivi anzia sindano choma ceftriaxon inj 1g in 10mls for 7 up to 10 days...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom