Naomba kujua tiba ya fangasi wa vidoleni

Fungus ni pathogens zipo kwenye ngozi lakini immune system inapigana nazo sisitusumbue. Ikitokea fungus wanasumbua
1. Pima sugar levels kwakua ukiwa na damu tamu immune system haiwezi pambano.

2. pima HIV kwakua CD4 count zikiwa chini haziwezi pambano.
 
Back
Top Bottom