Wasalaamu wakuu!
Ikiwa mapambano dhidi ya Covid-19 yakiendelea, naomba msaada wenu.
Nina mpenzi wangu, katika harakati za kuzuia kupata mimba tukiwa shule, alikua akitumia P2. Kuna wakati...
Ndugu Mungu ni mtaalamu sana katika umbaji wake alitumia sayansi ya hali ya juu mno sasaa, naombeni kwa yeyote anayefahamu namna hiki kiungo kilivyosetiwa mwilini na kunavyomsaidia mtu kucheka...
Habari,
Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo.
Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu.
Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi.
Ukienda...
Wiki 2 zilizopita yalinikuta hayo, nilipata homa kali sana iliambatana na kikohozi na koo kuuma.
Pia kushindwa kupumua vizuri ikiambatana na kuchoka! Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 15...
Habari doctors,
Nimekuwa muhanga wakung'oa meno mara kwa mara (magego) nahofia kuyamaliza yote ni umri bado ni kijana kwenye swala la usafi wa kinywa najitahidi kadri ya uwezo wangu swali langu...
Habarini wakuu,
Nina swali dogo ila kubwa sana kwa upande wangu swali lenywe ni hili:
Ni umri gani unaweza jua mtoto ni bubu au anakigugumizi?
Na je kila Bubu ni kiziwi? au kila kiziwi ni Bubu...
How To Make Face Mask From Tissue paper
Face masks should be used if anyone is sick or having cough to prevent infection to others, but nowadays itβs very hard to find.
Protect yourself against...
ASALAAM ALAYKUM Waislam na Wasiokuwa Waislam Amani ya Mungu iwe nanyi.
Maajabu kumi ya tango kiafya
Ngozi yako inahitaji tango kutoa seli zilizokufa na makunyanzi. Weka au sugulia vipande vya...
Habar wandugu
Napenda kuuliza Hivi group la damu la mtoto linatokana na baba na mama magroup Yao ya damu au?
Kwa mfano kama baba na mama ni b positive mtoto group lake linakuwa ni lipi...
Habari za Muda wakuu,
Kutokana na kuwa na changamoto za ubovu wa meno mpaka sasa nimetoboka jino japokuwa natumia Sensodyne lakini nimeona nikalizibe kabisa.
Nataka nikazibe pango kwa dhahabu...
Tukio lililotokea hivi karibuni la serikali kufungia kituo cha tiba za asili cha Dr Mwaka na wengine wachache ni mwendelezo wa vita ya kimaslahi kati ya tiba asilia na tiba za kimagharibi kwa...
SHIGELA (SHIGELOSIS)
Huu ni ugonjwa hatari wa kuharisha ambao husababishwa na kimelea aitwae Shigella dysenteriae ..kimelea huyu aligundulika kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1897 huko Japan,na...
Heshima kwenu wote,
Naomba kujua duka ninaloweza kupata Sulfuric acid plaster 40% na inauzeaje?
Mm nipo Arusha lakini hata kwa Dar es salaam na mkoa wowote naweza tuma mtu akaninunulia.
Asanteni...
Habari za majukumu Wakuu?
Napenda kuchukukua fursa hii kuuliza kama kuna kituo cha afya hapa Dar ambacho wanatoa miwani kwa kutumia bima baada ya kuwa umepimwa.
Yafuatayo ni madhara kiafya ya matumizi ya kupitiliza ya hand sanitizer.
Ikiwa ni pamoja na kuharibu mfumo wa kinga wa mwili pamoja na homoni.
Are we safe??
5 Hidden Dangers of Hand Sanitizers
UFAHAMU UGONJWA WA HOMA YA LASSA
Katika siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu sasa kumekua taarifa sana zilizosambaa juu ya ugonjwa wa homa ya corona, mlipuko ambao ulitokea katika jiji la...
Najiuliza UTI nimepataje, mpenzi wangu hana, mimi sijawai umwa huu ugonjwa toka 2004,
Michepuko sidhani. Dokta namweleza hanielewi. Kwa usaf nilionao siwezi pata huu ugonjwa nabishana na Dokta...