Ushauri: Nataka kuyafanyia meno yangu matibabu ya 'root canal'

mangonifera indica

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
845
1,462
Habari doctors,

Nimekuwa muhanga wakung'oa meno mara kwa mara (magego) nahofia kuyamaliza yote ni umri bado ni kijana kwenye swala la usafi wa kinywa najitahidi kadri ya uwezo wangu swali langu ni kuwa nataka yaliyobaki niyafanyie root canal kuua mizizi alafu niyazibe yale yaliotoboka, itakuwa suluhisho.
 
Mm nilifanya root canal miaka miwil sasa ilikua ya meno matatu kila jino nililipa elfu 30 jumla elfu 90 na meno yako sawa had leo hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom