Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Najiuliza UTI nimepataje, mpenzi wangu hana, mimi sijawai umwa huu ugonjwa toka 2004,
Michepuko sidhani. Dokta namweleza hanielewi. Kwa usaf nilionao siwezi pata huu ugonjwa nabishana na Dokta.
Ameniuliza swali fikirish ndiyo akili imenikaa sawa sasa
"Unatumia choo gani" nikamwambia cha kukaa
Akasema haya fikiria mwenyewe sasa.
Nkagundua kumbe ukiwa unafanya yako mashine huwa inagusa kingo za ndan za choo sometime. daaaah
Hivi wabunifu mmeshindwa kututengenezea vyoo vyetu sisi warefu kwenda chini?