Habari wana kukaa,
Naomba msaada nna ujauzito wa mwezi na siku kadhaa. Naomba kujua kama ina madhara nikimaliza chanjo ya homa ya ini imebaki moja natakiwa niichome mwezi may. Je inaruhusiwa au...
[emoji433] Zipo dawa nyingi sana zinazotangazwa hapa na pale kwamba zinasaidia kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume . Yapo madawa ya hospitali pia lakini ukweli ni kwamba madawa...
Wataalam naomba mnisaidie.
Kuna ndugu yangu amegundulika na tatizo la Amoebiasis akaandikiwa Flagyl akaanza kutumia.
Siku ya pili akaanza kusikia tumbo linavuruga huku anajisaidia choo chenye...
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu na tafadhali anza zako tu Kutiriika na Kuserereka kwa Kutupa (Kutoa) Elimu yako na ikiwezekana na Uzoefu (Ubobezi) wako wa Kiuweledi hasa wa Kibaiolojia na Sayansi...
Naomba jamani kazi ya hizi dawa Piroxicam na Tinidazole + Norfloxacin (Nort -T). Je anaweza kunywa na Diclofenac na Ciproflax ya Typhoid.
Maana mke wangu alipimwa akakutwa na Typhoid lakini...
Naomba kusaidiwa, ni dawa gani zinaweza saidia kurudisha mzunguko wa hedhi katika hali yake ya kawaida.
Mzunguko umevurugika, Pia dawa zinazoweza saidia kupangilia siku vizuri.
Asanteni
Wadau nina mdogo wangu amekuwa na tatizo la kupungukiwa damu, licha ya kutumia dawa na kuzingatia kwa ufasaha vyakula vya kuongeza damu, lakini damu huwa inapungua ghafla na kupelekea kupoteza...
Hii hali bado inaendelea kunisumbua kuanzia shingoni hadi kifuani panauma shingoni panakuwa kama pamejibana au kama mtu ameniviriga kamba kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto pia na hii yote...
Katika kipindi hiki cha hofu kuu ya virusi vya CORONA Wizara inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwatenga wale waliohisiwa na kukutwa na maambukizi ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa...
Habari ndugu wanajukwaaa.
Tatizo la harufu mbaya mtu akipiga Chafya huwa linatokana na nini? Mtu anaumwa mafua Mara kwa mara.Yanapona lakini baada ya muda yanajirudia Tena.Akipiga Chafya inatoka...
Too Much TV Linked To Early Death
Watching two to three hours of television a day increases the risk of an early death, type 2 diabetes and heart disease, according to a new study...
JE, TATIZO LA KUTOKUPATA WATOTO NI TATIZO LA MWANAMKE TU?
Na Kilawa the Iron
Tatizo la kutokupata watoto limeonekana kuwa ni kitendawili katika ndoa nyingi licha ya wapendano hawa kukutana...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani kimeeleza kuwa #CoronaVirus ni ugonjwa mpya na bado Waatalamu wanajifunza namna unavyoenea, unaweza kuenea kwa kiwango gani na makali yake kwa...
Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine.
Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari...
Msaada na ushauri kwa maumivu ya kichwa, CT SCAN na MRI hainyaonyesha tatizo ila maumivu ni makali mapaka mtu anapoteza fahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama heading inavosema, sisi kwetu mgonjwa wa mafua sugu tokea zamani anaweza akatumia tangawizi, maji ya moto, ndimu , na majani ya mti mmoja hivi jina nimelisahau, ila harufu yake ni kama dawa...
This Thread was deleted and reported to Administrator, somebody use my ID illegally.It is against the privacy policy. I'm a verified User, ikitokea mtu anacheza na ID za watu dawa yake ni...
WAKUU. dawa gani inaondoa uvimbe kwa haraka? Jana niliianza pasaka kwa mkosi, nililizua club nikiwa maji, nimeamka asubuhi nimevimba mdomo wa juu, sasa nataka nipate dawa ya kusawazisha huu...
Wazee huwa na kinga ndogo kupambana na maradhi kwakua kila kiungo kinaanza kufanya kazi kwa kiwango cha umri. Ukiwasisitiza wasitoke nje bila sababu maalum na kukiwa na sababu maalum wavae...