Msaada na ushauri kwa maumivu ya kichwa, CT SCAN na MRI hainyaonyesha tatizo ila maumivu ni makali mapaka mtu anapoteza fahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa maumivu,Msaada na ushauri kwa maumivu ya kichwa, CT SCAN na MRI hainyaonyesha tatizo ila maumivu ni makali mapaka mtu anapoteza fahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kamuone daktari bingwa kwa mifumo ya kichwa Muhimbili.
Mwombe mwwnyezi Mungu akuhurumie na akufanyie wepesi wa uponyaji na chanzo/sababu ijulikane kirahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutojali, kuna uwezekano wa kuongea kwa simu wewe binafsi au na mgonjwa pia?
Simu: 0757316497
Nina ndugu yangu nimdogo kwa Umri kama miaka 20. ana tatizo la kichwa kumuuma sanaa kias kwamba kuna wakat mpaka dam zinatoka puan tatizo ni nini naomben ufafanuz wen wajuviMsaada na ushauri kwa maumivu ya kichwa, CT SCAN na MRI hainyaonyesha tatizo ila maumivu ni makali mapaka mtu anapoteza fahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ndugu yangu nimdogo kwa Umri kama miaka 20. ana tatizo la kichwa kumuuma sanaa kias kwamba kuna wakat mpaka dam zinatoka puan tatizo ni nini naomben ufafanuz wen wajuvi