Kwanini ukitoka tu Kunyoa Nywele za Sirini hapo hapo Kiwango cha hamu ya mapenzi (Libido) hupanda ghafla kwa Mwanadamu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu na tafadhali anza zako tu Kutiriika na Kuserereka kwa Kutupa (Kutoa) Elimu yako na ikiwezekana na Uzoefu (Ubobezi) wako wa Kiuweledi hasa wa Kibaiolojia na Sayansi ya Mahusiano (Mapenzi) ya Mwanadamu.

Karibuni nyote na nawasilisha.
 
Mkuu, hii observation umeipata wapi ? anyway mimi nasubiri waje member wachangie hasa wale ambao huwa hamuelewani
 
Huo utafiti Ni kwa wotee au wewe peke ako mtoa uzi?
Mbona mi cjawah ku experience hio kitu

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Ndoo. Mie ndo nataka nipige huo usafi leo nitarudi na matokeo kama ni kweli. By the way pale mtaa wa jamhuri kuko na dada mmoja kazi yake ni kuwapiga usafi wa mama wa kihindi majumbani itabidi nimtaafute nijue kama hiyo hali huwa anai experience kwa customer wake.
 
Hatari sana kwa afya...kunyoa na kwenda kupiga show

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Ni sawa na ukiwekea jembe mpini mpya. Unakua na hamu ya kulima. Unashangaa unaanza kupita nalo unachimba chimba.

2020
 
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu na tafadhali anza zako tu Kutiriika na Kuserereka kwa Kutupa (Kutoa) Elimu yako na ikiwezekana na Uzoefu (Ubobezi) wako wa Kiuweledi hasa wa Kibaiolojia na Sayansi ya Mahusiano (Mapenzi) ya Mwanadamu.

Karibuni nyote na nawasilisha.
Unatulipa dollar ngapi ?
 
Back
Top Bottom