Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums,
Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi.
Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika...
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu...
Mtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya...
Star Anise (kash kash) ni kiungo cha thamani kinacholimwa zaidi maeneo ya milimani yenye baridi kama Lushoto na Nyanda za Juu Kusini. Mti wake huchukua miaka kadhaa kuanza kutoa matunda, huku...
Meno yaliyopangwa vibaya siyo tiba yake kuyang'oa kienyeji.
Meno yenye mpangilio usio sahihi yanaweza kurekebishwa kwa njia ya kitaalamu iitwayo Orthodontic Treatment (Matibabu ya Mpangilio wa...
Ni mara nyingine ya mwaka 2026 tunakutana katika kuendeleza kupeana elimu ya Namna ya kujipatia tiba kwa njia ya asili
Leo nitaeleza majani ya mti wa Amla ya tz ni Maarufu sana kutokana na kuwa...
Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka...
Wanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe ct scan ya tumbo. Ajabu tumbo sasa limebadilika. Linawaka moto.Kiuno sasa kinauma sana. Tumbo linaunguruma sana utafikiri vyura vinafanya mazoezi...
Member mko poa?
Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume
Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza...
Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za...
Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida...
Heshima yenu madokta wetu.
Kwanza niwashukuru kwa msaada wenu mkubwa hapa JF na kwa jamii kwa ujumla.
Binafsi kupitia JF nimepata suluhu mbalimbali za kiafya.
Nyie ni watu wa thamani sana hapa...
Daktari Selestin Mpiri anaeleza kuhusu umuhimu wa ulaji sahihi (diet) ikilinganishwa na mazoezi katika kupunguza uzito.
Mazoezi pekee hayawezi kurekebisha au kufuta madhara ya ulaji mbaya. Ili...
Guys ni wapi kwa hapa Tz nitapata sehemu wanapandikiza mbegu nimekaa nimetafakari kwa umri wangu huu miaka 23 sijawahi kuwa na demu wala wa kusingiziwa na sina mpango wa kuoa,ninachotaka kufanya...
Habari wakuu.
Poleni kwa kuwashtua.
Poleni kwa Kuwapa tension.
Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita.
UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA...
Kwa uzoefu wangu mdogo nimebaini Watanzania wengi sana tunapofikisha miaka around 40 tunaanza kupata changamoto nyingi sana za kiafya zinazo weza kuzuilika kutokana na life style zetu.
Ukiachana...
Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana.
Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona.
Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa...
Habari!?
Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee.
Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10.
Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za...
Kwani watu wanaopatwa tatizo la kupungukiwa damu anatakiwa kuongezewa na watu wajamii yake tu au ilimradi damu iwe ya binadamu mwenzie mwenye sifa na vigezo bila kujali jamii yaani...