Habari wadau wa jamiiforums
Habari zenu,
Naomba kujuzwa
Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa.
Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya?
Au una uonaje?
Tafadhali wadau nisaidieni.
Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo, kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan wakapima mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.
Naombeni msaaada kama kuna mtu...
Poleni na majukumu wataalam. Nina ndugu yangu kalazwa ila ana upungufu wa damu ila hataki kuongezewa damu naweza kumfungulia kesi na ikitokea doctor kamwongezea kwa lazima sheria itamlindaje doctor.
Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo
Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na...
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa,
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa, akienda hospitali...
Habr gani Wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya........
Leo napenda kushire nanyi Jambo hili ambalo nahisi wengi Lita washangaza kidogo.
Nianze kwa kuwasumilia kidogo matukio kadhaa ambayo...
Habari,
Naomba msaada mimi nikikojoa mwishoni zinatoka shahawa na hapo uume unakuwa haujasimama na wala sina hisia za mapenzi kabisa kwa wakati huo.
Je, ni ugonjwa niwahi hospitali au lah maana...
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu. Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya mwaka...
Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa.
- Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa
- Wataalamu wanahoji athari za...
Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya...
Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia...
Habari za muda wakuu.
Nimesikia mitafaruku kadhaa mtaani inayotokana na wanandoa kupata watoto wa jinsia moja. Pia, nimesikia mara nyingi sana watu wakizungumzia ni mtoto/watoto wa jinsia gani...
Habari waungwana,
Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad...
Faida ya Mafuta Ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele.
1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya...
Wakuu Heshima kwenu,
Naomba msaada wa kuelekezwa ama kufahamishwa ni wapi naweza kupata Dakrari bingwa wa macho Mkoani Mwanza.
Nina mwanangu wa kiume umri wa miaka 5 anasumbuliwa na macho kuliko...
Wanangu wameugua mapunye (vibarango) na nimetumia dawa nyingi bado naona hawaponi. Nitumie dawa gani ambayo haishindwi?
SAME CASES:
Wakuu kwa wale wataalamu naomba endapo kuna dawa kiboko ya...
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!
Mara nyingi navyojua kikohozi...
Habari wana JF mwanangu yamemtoka mapele ya ajabu,
Wife amempeleka hospital Jmosi na anatumia dawa Ila bado vinamtoka
Naombeni msaada wenu Kwa anaeujua huu ugonjwa vizuri.
Wengine wanasema ni...