Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ashwagandha ni tiba asili ya kihindi iliyojizolea umaarufu mkubwa kutibu changamoto nyingi za kiafya. Mmea huu unazalishwa zaidi Mashariki ya kati, Asia na hata Africa ya magharibi. Faida za...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Dawa ni ya asili imezalisha india kwa ajili ya kutibu uvimbe kenye kizazi na kenye mfuko wa mayai. Pia dawa inasaidia kurekebisha homoni na hedhi. Dozi moja ya Zandu kanchnar guggul ina vidonge...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Yes that is what I'm asking , can someone help us? Just elaborate the cause of big Nidos. Please don't talk about Genetics that's is what I'm sayin.
1 Reactions
6 Replies
185 Views
Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital...
0 Reactions
5 Replies
359 Views
Habari Ma doctor Wa JF Stori ni ndefu nifupishe kiasi Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku...
6 Reactions
24 Replies
700 Views
Utoaji mimba usio salama ni mojawapo ya changamoto ya kiafya ambayo kwa Tanzania haiwekwi wazi kutokana na mazingira, Sheria na taratibu zilizopo nchini pamoja na ukosefu wa elimu ya afya ya...
2 Reactions
6 Replies
424 Views
Naomba kuuliza kipimo Cha moyo ni bei Gani? Asante
3 Reactions
14 Replies
296 Views
Naomba tumsaidie annzie wapi vipendhy
7 Reactions
24 Replies
334 Views
Kutokana na kuumwa na kila kitu bila kujua tatizo nn nimejisogeza hosptal katika vipimo nikaambiwa damu ni nyingi km 18.8 lkn nikaambiwa nina h-pylori na mm siumwi tumbo naomba kueleweshwa juu ya...
3 Reactions
1 Replies
168 Views
Habari za mchana. Nimekuwa nikikutana na video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, hususan mtandao unaokua kwa kasi wa TikTok, zinazoonesha baadhi ya watu wakiogeshwa mkojo, wengine wakinywa...
9 Reactions
23 Replies
579 Views
  • Featured
Pia soma Visa vya UVIKO-19 vyaongezeka nchini, Dar es Salaam ikiwa kinara
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Anonymous
Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Vituo vya Kutoa Huduma za Afya (GoTHOMIS) unaotumika hospitali unasumbua sana, unakuta mgonjwa anasubiri for 2 hours hadi kuja kupata huduma. Kama wanakuwa...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana. Miaka mitatu baada...
3 Reactions
5 Replies
300 Views
Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa...
5 Reactions
43 Replies
728 Views
Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
7 Reactions
45 Replies
926 Views
Wataalam wa afya; hebu tusaidieni kuelewa ugonjwa huu
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…