Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafadhali kama wewe si mwanaume au ni mwanaume usiye kuwa na ndevu hii haikuhusu.. Nilikuwa naongea na daktari mmoja katika hospitali moja kubwa sana katika nchi niloyokwenda kutembea..chonde...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Msaada wenu wakuu mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na nusu toka juzi kaanza kutapika kila anapoonja chakula umchukua takribani dakika tano tu anapokula chakula anatapika. Nimempeleka hospitali...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali ya Mtoto wa Jicho hutokeap pale lenzi ya jicho inapopata ukungu na kuathiri uwezo wa kuona. Ni chanzo kikuu cha upofu kwa watu wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. Chanzo Visa vingi vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana, Naomba usaidizi kwa wataalam wa macho haya maelezo ya Dr yanaelezea mgonjwa anatatizo Gani? Maana kapewa miwan lkn akitembea anaona km mabonde mabonde afu vitu km vimebinuka...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
When it comes to sex and sexual life, lasting longer in bed is the most popular discussion among men. Among women, it is how often they reach orgasm and how long it takes and very few times how...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani. Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii kitu sijawahi kuhadithia mtu hahaha, mara ya kwanza enzi hizo niko form two kwenye NECTA, niseme tuu nilikuwa na focus sana na mamitihani ile na sijawahi kusoma kwa focus kama vile. Basi siku...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndug wana JF naombeni ushauri nina mtoto wa miezi 5 lakini huyu mtoto Kila ukijaribu kumsimamisha hata miguuni anakunja miguu lakini ana uwezo wa kurusha miguu vizur lakini unapohitaji...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wana JF. Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie. Asante.
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Nauliza tuu jamani hivi kwani nini kila mtu mwenye ulemavu wa akili (taahira) na kuwa na mwili mkubwa/bonge ,baunsa awe mwanamke au mwanamke je kuna mahusiano gani maana kila ninaowaona wana mwili...
1 Reactions
10 Replies
924 Views
Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe source.Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe | Light On Conspiracies - Revealing the Agenda HATARI YA CHANJO KWA WATOTO...
11 Reactions
195 Replies
25K Views
Antibaotiki (Kiingereza antibiotics, mara nyingine Kiua Vijasumu) ni kemikali ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa vijidudu vinavyosababisha magonjwa. Mwanzo neno antibaotiki lilitumika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hellow ndugu zangu, naomba kuuliza kwa yeyote anaejua tiba asili au za hospitali la tatizo la kuchelewa kushika ujauzito.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, niende moja kwa moja kwenye uzi. Kiukweli magonjwa ni mengi sana ya kuambukizwa na haya yasiyo ya kuambukizwa. Lengo la kuleta uzi huu ni baada ya kushuhudia mtu akikata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nisaidieni namba ya Dr.Kapona ndugu zangu au maelekezo ya clinic yake iko wapi?? Natanguliza shukrani
0 Reactions
14 Replies
17K Views
[emoji269] *UFAHAMU UGONJWA WA NGIRI NA TIBA YAKE* [emoji269] [emoji298]Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za...
1 Reactions
3 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…