Wabantu wengi hatuna jadi ya kula matunda kufanya mazoezi kumeza dawa za minyoo kupima afya mara tuuguapo hadi tushauriwe na daktari ndio mtu anaanza kutafuta au kufanya mazoezi.
Mfano dawa za...
Hakuna ushahidi wa kisayansi unaosema kula nyama ya mbuzi inasababisha matatizo ya viungo.
Nyama ya mbuzi, kama aina nyingine za nyama ya mwili, ni chanzo kizuri cha protini, vitamini, na madini...
SABABU 15 ZINANIFANYA NITUMIE SIKI YA TUFAHA KILA SIKU
Apple cider vinegar is my new obsession. I recently began taking apple cider vinegar shots 2-3 times a day for a quick and effective energy...
Mzio au aleji (allergy) ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote (ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia ndani ya mwili au...
Habari wadau,
Nimekuwa na tatizo la reflux kwa muda mrefu na nimetibiwa hospital nyingi bila mafanikio, hivi karibu imekuwa worse kwa kuwa napata sore throat(choking type) na persistence...
Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini...
Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves...
Wakuu.
Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer.
Je...
Wakuu habari za jioni.
Naomba munisaidie kujuwa duka wanapouza vifaa vya radiology vifuatavyo:
1. Utrasound gel
2. Barium salfate
3. Contrast medium (pamidol injection)
Natanguliza shukrani za that
Habarini wanajamvi
Nina mtoto wangu ana umri wa 6 month, ila baada ya mwezi mmoja mtoto alianza kua kama na mafua na kupata shida ya kupumua (anakua kama anakoroma akiwa anapumua) hasa wakativwa...
Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata.
Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi...
Nafikiri sasa wadau kushirikiana na serikali upo umuhimu zaidi kutoa elimu ya afya kuhusiana na homa ya ini.
Maana ili jambo kiukweli kwa sasa imekua ni hatari kubwa kwa afya za watu na takwimu...
Habari wanajamvi,
Ndugu yangu wa kike Ana Tabia ya kula mchele sana mpaka imekuwa kama ni lazima kula ili apate utulivu wa nafsi.
Ilianza miaka mingi karibia ishirini sasa kipindi dada yake...
Wakulungwa...Kwa Nia njema tu,
naombeni jinsi ya kukabililana na stress za mama kijacho maana naona Sasa kama kamtu kana maksudi.
Uzalendo unakuwa mgumu ndio kwanza mwezi wa tatu[emoji119]