Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,464
- 7,140
Habari wanajamvi,
Ndugu yangu wa kike Ana Tabia ya kula mchele sana mpaka imekuwa kama ni lazima kula ili apate utulivu wa nafsi.
Ilianza miaka mingi karibia ishirini sasa kipindi dada yake mkubwa alipokuwa mjamzito, Alikuwa wakila wote udongo, mchele na chochote kile!
Alipo jifungua dada kaacha lakini yeye ndo akaseselea mpaka leo hii ana miaka 30+!
Anatamani kuacha ila nashindwa kwa vile sasa hata akiwa na stress au Jambo gumu basi ili apate umakini na utulivu basi ananunua robo kilo na kuimaliza kwa kutafuna kwa masaa tu!
Na popote awapo basi mfukoni lazima atakuwa nao. pia akikuta chaki nayo ni vile vile, anasema anahisi kuna kitu mule anakihitaji.
Naomba mwenye kujua dawa ya hii hali atusaidie. Mana mpaka meno yanaisha kwa kusaga mchele.