Msaada wa kujuzwa wanapouza hizi.

Msaada wa kujuzwa wanapouza hizi.

Kaselele

Senior Member
Joined
May 19, 2022
Posts
171
Reaction score
480
Wakuu habari za jioni.

Naomba munisaidie kujuwa duka wanapouza vifaa vya radiology vifuatavyo:
1. Utrasound gel
2. Barium salfate
3. Contrast medium (pamidol injection)

Natanguliza shukrani za that
 
Wakuu habari za jioni.

Naomba munisaidie kujuwa duka wanapouza vifaa vya radiology vifuatavyo:
1. Utrasound gel
2. Barium salfate
3. Contrast medium (pamidol injection)

Natanguliza shukrani za that
Ingia google au insta search dealer anaitwa "Anudha" huwa wanadeal na hizi supplies za radiology na mahospitali kwa ujumla...
 
Back
Top Bottom