Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu kama kichwa kinavyojieleza ni exactly kilichonitokea na kinachoendelea kunitokea. Mimi siyo mtaalam wa mambo ya wanawake, so katika hili sifahamu, "hivi mwanamke akiwa period anakuwa na...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Maelezo ya Awali... Njia za uzazi wa mpango hutumika na wanaume na wanawake kuzuia ujauzito kwa madhumuni ya kupanga uzazi ili kuwa na familia bora. Ni vigumu kusema kuwa kuna njia iliyo bora...
1 Reactions
838 Replies
374K Views
1. Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani, imeeleza kuwa Watu 4 kati ya 5 wenye tatizo hilo hawapati matibabu sahihi huku idadi ya Waathirika ikiwa ni Mtu Mmoja katika kila Watu 3 duniani kote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Na Imani mko poa kuna rafiki yangu hapa katumia Antibiotic inaitwa Cefadroxil anasema kamaliza Dose mchana je inakaa kwenye mwili masaa mangapi ili aendee kunywa Pombe. [emoji120]
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar wakuu naomba kuuliza hivi left ventricular hypertrophy inatibikaje
0 Reactions
3 Replies
397 Views
Dawa ya kusafisha tumbo na tumbo kujaa gesi
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu zangu Habari za asubuhi, natumai mu wazima wa afya njema, mulio wagonjwa MUNGU akawape wepesi kwa kuwaponya. Moja kwa Moja niende kwenye maada, nina mtoto wangu wa miezi 8 amekuwa na tatizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na omba msaada kwa wale wanaojua dawa au aina ya tatizo au sababu ya tatizo linalomkabili mama angu Mama angu ana umri wa miaka 47, ana tatizo la kuumwa upande mmoja wa mwili kutoka kwenye paja...
1 Reactions
17 Replies
19K Views
mgumu. Kiukweli nahi, so p msaada... Natanguliza shukrani.!!
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Wadau ninahitaji kufahamu kama ugonjwa huu unapona, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana.
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Naomba kujua matumizi ya hizi dawa
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wapendwa mwenye kujua dawa za gesi na acid anisaidie za hospitali naona sipati nafuu msaada tafadhali nabeua sana
0 Reactions
2 Replies
511 Views
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA[emoji116][emoji116] 1. Shinikizo la damu 2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari 3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol PUNGUZA 1. Chumvi 2. Sukari 3. wanga 4. Maziwa...
24 Reactions
47 Replies
3K Views
World Patient Safety Day calls for global solidarity and concerted action by all countries and international partners to improve patient safety. The Day brings together patients, families...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wana jf, Naomba msaada wenu mdogo wangu anasumbuliwa ovarian cyst, Sasa mwezi wa saba alipimwa utrasound ukawa na cm 3.5 hakupewa dawa yoyoye, walisema utaisha wenyewe. Sasa juzi maumivu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa. Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…