Kila mwenye umri wa miaka 40+asome huu ujumbe unamhusu kwa asilimia million!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA

1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol

PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa
5. Vyakula vilivyosindikwa
6. Mafuta mengi

Tumia zaidi:
1. Mbogamboga
2. Nafaka
3. Maharage
4. Mbegu
5. Mayai
6. Mafuta ya asili Kama zaituni, samaki, Nazi na yatokanaoyo na mbegu ...)
7. Matunda

VITU VITATU UNAVYOPASWA KUVISAHAU:
1. Umri wako
2. Yaliyopita zamani
3. Majuto yako

VITU VITATU MUHIMU SANA:
1. Marafiki zako
3. Mawazo yako chanya
4. Nyumbani kwako kuzuri.

MAMBO MATATU YA MSINGI:
1. Tabasam/cheka daima
2. Fanya mazoezi nyumbani kwako
3. Angalia na uweke sawa/(balance) uzito wako

VITU SABA VYA KUZINGATIA SANA:
1. Usisubiri kiu ili unywe maji
2. Usisubiri kusinzia ndipo ulale
3. Usisubiri mpaka uchoke ndipo upumzike
4. Usisubiri mpaka uumwe ndipo ukapime afya yako
5. Usisubiri muujiza utokee ndipo uanze kumwamini Mungu
6. Usijidharau/usikate tamaa
7. Amini kuwa kila Jambo linawezekana na kesho yako itakuwa nzuri zaidi ya leo...

MUNGU AKUKUBARIKI

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mimi pamoja Na Ujana wangu Huu ila Kuacha Matumizi ya Chumvi kupita kiasi Nimeshndwa yani imekuw kam Uraibu kwangu,

Hat Chai ya asubuhi huwa nataman hat Kuweka na Chumvi kwa Mbaali, Nakumbuka wakt mdog kam Miaka 7-10 niliugua ugonjwa fulani Unasababishwa na Matumizi kupita kiasi ya chumvi.

Naomba Muumba huu Uraibu nisiende nao Uzeeni maan Sitovuka Hata 70
 
Kijana Mimi Nina 50+ nakuomba kwa jina la Mungu wangu usitumie chumvi mbichi table salt utakuja nishukuru baadae na utaukumbuka huu uzi

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Somo wako Mfalme Suleiman alikuwa na wake wengi na pia aliishi parefu na hekima tele...

hapo unashaurije ndugu mtaalamu.?
 
Kama akili inafanya kazi na sio mbishi utagundua hata kabla ya 40 kwenye 30+ mwili huanza kukataa baadhi ya vitu. Ukifanya zoezi hata la jogging utagundua tu mwenyewe mwili wako ulivyo. Kimsingi ukishaingia 30 anza kuweka kipaumbele kwenye mwili wako. Ukiwa mbishi utataabika baadae.
 
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA

1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol

PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa
5. Vyakula vilivyosindikwa
6. Mafuta mengi

Tumia zaidi:
1. Mbogamboga
2. Nafaka
3. Maharage
4. Mbegu
5. Mayai
6. Mafuta ya asili Kama zaituni, samaki, Nazi na yatokanaoyo na mbegu ...)
7. Matunda

VITU VITATU UNAVYOPASWA KUVISAHAU:
1. Umri wako
2. Yaliyopita zamani
3. Majuto yako

VITU VITATU MUHIMU SANA:
1. Marafiki zako
3. Mawazo yako chanya
4. Nyumbani kwako kuzuri.

MAMBO MATATU YA MSINGI:
1. Tabasam/cheka daima
2. Fanya mazoezi nyumbani kwako
3. Angalia na uweke sawa/(balance) uzito wako

VITU SABA VYA KUZINGATIA SANA:
1. Usisubiri kiu ili unywe maji
2. Usisubiri kusinzia ndipo ulale
3. Usisubiri mpaka uchoke ndipo upumzike
4. Usisubiri mpaka uumwe ndipo ukapime afya yako
5. Usisubiri muujiza utokee ndipo uanze kumwamini Mungu
6. Usijidharau/usikate tamaa
7. Amini kuwa kila Jambo linawezekana na kesho yako itakuwa nzuri zaidi ya leo...

MUNGU AKUKUBARIKI

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
EPUKA;
1. Mikopo
 
Kitaalamu maziwa yana shida gani mpaka yapunguzwe?
 
Kijana Mimi Nina 50+ nakuomba kwa jina la Mungu wangu usitumie chumvi mbichi table salt utakuja nishukuru baadae na utaukumbuka huu uzi

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Najitahidi sana Kupunguza matumizi Baba ila Inaniuwia vigumu sana yani kuna muda mpak nahisi labda ni Tabia ya Kurithi ila najitahid kupunguza matumizi ya Chumvi.
 
Back
Top Bottom