Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu...
Habari wanajukwaa,
Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni...
YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye...
Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka."
Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka,"...
Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini.
Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini...
Kutoa Harufu Mbaya Ukeni:
Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi...
Nawaza makebo makubwa muda wote. Naanza kujihisi siko sawa. Je, naweza pata msaada gani kisaikolojia?
Fikra zangu zimegeuka porno, pesa zangu zinaishia kwa milupo.
Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata...
Habari za asubuhi wanaJF,
Nimekaa ktk mahusiano na mwanamke fulani mpaka sasa tuna miezi mitatu ila tangu tuanze mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kondomu kusex.
Siku moja mwenzangu tukiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo...
Najua ushaona wagonjwa wa kansa wakiwa na vipara na ukadhani ni sehemu ya ugonjwa wenyewe.
Basi sababu kuu ni matibabu ya kemotherapi ambayo huathiri seli zinazokua haraka mwilini, zikiwemo seli...
Punyeto ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa...
Habari,
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC).
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni ugonjwa hatari wa mfumo wa uzazi wa mwanamke. Usipochukua hatua mapema, madhara yake yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa:
1️. Ugumba — Mirija ya uzazi...
Unapokwenda dukani kununua dawa ya meno ya kampuni yoyote ile hakikisha ina kiwango cha ubora huo wa madini ya fluoride 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto.
Viwango hivi vya ubora...
Video fupi ya hatua ambazo mtu anapaswa kuzifuata ili kumsaidi amtu aliyepoteza fahamu kabla ya kumfikisha kwa wataalam wa afya kwa msaada zaidi.
ANGALIZO
Kulingana na wingi wa magonjwa nyakati...
Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua.
Tulipofika hospitalini...
Je, unaweza kutumia dawa za presha halafu ukikaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote, hata kama kipindi ambacho umekaa sawa