Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za mida wakuu, Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo. 🌿High blood pressure 🌿High cholesterol 🌿Asthma 🌿Low immunity 🌿Cancer of the blood 🌿Obesity 🌿Candidiasis Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Tangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa. Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu? Au ndio...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Jirani yangu kaja yuko anaumwa sana kwa kung'atwa na ng'e. Pls kwa anayejua dawa tafadhali nisaidie
0 Reactions
24 Replies
36K Views
For those hammering on a weight loss regimen, the moringa leafy greens are known to rev up the metabolism. (Photo via X) It is more than just a flying trend of the year. It is a wellness plant...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
In China, Coca-Cola will be sold as a sewage cleaner, and the Coca-Cola soft drink produced by the American Coca-Cola Company will be transferred according to the decision of the Chinese Central...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau wa Afya Heshima kwenu! Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali! Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu! Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili...
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k Mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani. Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
My wife kajifungua wiki moja iliyopita, mtoto wa kwanza huyo, kwa jinsi ninavyomuona huyu mtoto atakuwa na chogo kama la mimi baba yake. Nimeshawahi kusikia kwamba unaweza ukamfanyia mazoezi...
7 Reactions
79 Replies
36K Views
Hello wana jamvi (Jamiiforums) Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016 Tangia hapo inashuka na kupanda Nimetumia dawa za hospital Bado hazileti nafuu Angalau dawa za mitishamba(kisuna...
0 Reactions
3 Replies
579 Views
Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
10 Januari 2022 Maelezo ya picha, Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu. Mwenye anajua tiba naomba maelezo
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Fy: Nimetumia terbinafine cream vikapotea nashangaa jana vimetudi Ushauri tafadhar
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Boga ni nini? Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TUMIA DAWA HII HAPA CHINI ITAKUSAIDIA : Tiba (1) Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…