Jamani anayejua dawa ya kuumwa na Nge

viane

Member
Mar 26, 2012
79
18
Jirani yangu kaja yuko anaumwa sana kwa kung'atwa na ng'e. Pls kwa anayejua dawa tafadhali nisaidie
 
Ni hospitali tu.
Au wandengereko wangemuambia asubiri au avumilie hadi next day same hour same minute na same second ya alivyong'atwa ndo itapoa.
 
amini usiamini, niling'atwa na ng'e zamani, bibi yangu akamchukua yule ng'e akamchoma na kisha kusaga majivu yake kwenye ile sehemu niliyong'atwa, Guess what? it worked like magic. Si lazima uamini.
 
Jirani yangu kaja yuko anaumwa sana kwa kung'atwa na ng'e. Pls kwa anayejua dawa tafadhali nisaidie

Kwani ni jinsi gani huyo jirani yako? If He mlete kwangu nitamtibu and if She m-transfer kwa Eddy M,baba ake kakwambia ni "Kamghambile"(mganga)
 
Back
Top Bottom