Mapunye yameota mguuni, tumboni na mikononi, yanawasha sana

Mizega

Senior Member
Feb 10, 2021
143
304
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k

Mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda hospital kama Kairuki, Ilala afya centre daktari anaangalia anakupatia tube.

Hizo tube nimetumia miezi hiyo lakini sijapata nafuu na sasa tatizo linaendelea.

Naomba ushauri wenu wakuu
 
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni,mguuni,mikononi n.k mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda hospital kama Kairuki, ilala afya centre daktari anaangalia anakupatia tube. Hizo tube nimetumia miezi hiyo lakini sijapata nafuu na sasa tatizo linaendelea.

Naomba ushauri wenu wakuu
Pitia huu uzi:

Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k

mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda hospital kama Kairuki, ilala afya centre daktari anaangalia anakupatia tube. Hizo tube nimetumia miezi hiyo lakini sijapata nafuu na sasa tatizo linaendelea.

Naomba ushauri wenu wakuu
Herpes zoster!! Umeyakanyaga. Kwa nini hamtumii condoms lakini?
 
Tafuta whitefield jar ile ya kikopo sio ya tube

Mimi io hali ilinitokea km miezi miwili nilikuwa nikitoka kuoga ndio nawashwa sana nikapona
 
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k

Mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda hospital kama Kairuki, Ilala afya centre daktari anaangalia anakupatia tube.

Hizo tube nimetumia miezi hiyo lakini sijapata nafuu na sasa tatizo linaendelea.

Naomba ushauri wenu wakuu
Mkuu pole kwa tatizo.
Jambi ama tiba ya kwanza ni kuoga mara tatu au nne kutwa. La pili nakuwekea namba hapa ya daktari mpigie atakutibu hizo ishu zinazokutesa

0717442080 DKt. Mgomo
 
Tsh 1,000 unapata condom 3. Sasa tamaa ya nyama kwa nyama inamsumbua mpaka atumie malaki
Kwani akitumia ndo atapona na kama kuna yule mwingine anatengeneza himaya yake. Tumshauri ahifadhi picha nzuri kabla ya kuingia itasaidia wakati wa kumsabahi🤣
 
Herpes zoster!! Umeyakanyaga. Kwa nini hamtumii condoms lakini?
mapunye ni fungus lakini herpes ni virus.

Maambukizi ya fungus yanaweza kutibika kwa dawa, aende hospitali apatiwe dawa na siyo kupaka siku tatu au nne, ahakikishwe amefuata maelekezo.
 
Mkuu pole kwa tatizo.
Jambi ama tiba ya kwanza ni kuoga mara tatu au nne kutwa. La pili nakuwekea namba hapa ya daktari mpigie atakutibu hizo ishu zinazokutesa

0717442080 DKt. Mgomo
Ahsante nitamtafuta
 
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k

Mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda hospital kama Kairuki, Ilala afya centre daktari anaangalia anakupatia tube.

Hizo tube nimetumia miezi hiyo lakini sijapata nafuu na sasa tatizo linaendelea.

Naomba ushauri wenu wakuu

umepima HIV
 
mapunye ni fungus lakini herpes ni virus.

Maambukizi ya fungus yanaweza kutibika kwa dawa, aende hospitali apatiwe dawa na siyo kupaka siku tatu au nne, ahakikishwe amefuata maelekezo.
Asante sana kwa kumsaidia. Herpes zoster kimtaani inaitwa Mkanda wa Jeshi.
 
Back
Top Bottom