https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M
Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala
Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa...
Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika...
Huu unaouona hapa ni "Uboho"
BBC wame report haya chini
Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells)...
Jambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha uzi kinavosomeka hapo juu, hili tatizo limeanza takribani miezi mitatu iliyopita.
Ilitokea tu siku moja wakati wa kufanya tendo la ndoa nikawa nahisi maumivu, ila...
Baada ya mdau mmoja wa JamiiForums.com kudai kuwa mgonjwa wao amekaa zaidi ya wiki mbili katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akisubiri kufanyiwa upasuaji, huku wakielezwa...
Ni ipi rangi ya ulimi wenye afya?
Machapisho ya kisayansi na tafiti zinabainisha kuwa rangi ya ulimi wenye afya inapaswa kuwa ya ‘Pink’. Ulimi wenye afya pia huwa na vipele vidogo vinavyoitwa...
Paranoid schizophrenia ni aina ya ugonjwa wa akili unaohusishwa na kupoteza uwezo wa kutofautisha vizuri kati ya uhalisia na mawazo yasiyo ya kweli. Ingawa katika mifumo ya kisasa ya utambuzi wa...
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza.
Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure.
Hii ni sawa wakuu?
Soma Pia...
Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewataka waganga wakuu wa hospitali zote nchini kuanzia ngazi ya taifa, kanda, mkoa, wilaya hadi vituo vya afya vinavyomilikiwa na halmashauri...
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo).
Changamoto yake
Ni...
Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi...
Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja...
Juni 6, 2026 Daktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi amewashauri wanawake wenye changamoto ya kupata ujauzito kuepuka...
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,
Sasa katika kuhaingaika sana...
Mheshimiwa Rais,
Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa...
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu...
Habari wanajukwaa,
Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni...