Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama...
3 Reactions
8 Replies
484 Views
Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu. Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana. Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na...
7 Reactions
24 Replies
25K Views
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu VIFAA 1.Kitunguu...
6 Reactions
125 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na mwili kuuma, ikabidi niende hospital kupata vipimo, majibu yakaja yanaonesha Nina damu nyingi ambapo ni 18 gm/dm (kama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nipo Zenjibar kwa mama kizimkazi. Nimeshavuruga sana huko Mchambawima, Dole na Bubu. Changamoto kubwa week ya 3 hii nikienda haja kubwa harufu inatoka kali sana. Mimi mwenyewe nashindwa himili...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi? Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua). Siku hiyo nikawa pale Sinza mori...
14 Reactions
120 Replies
9K Views
Habari za muda wana jamvi, nina ndugu yangu amepata miscarriage, ameenda hospital wamemwambia kuna njia mbili za kusafishwa A. Kutumia vifaa vya kusafishia B. Vidonge
1 Reactions
22 Replies
1K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wadau ni dawa gani inaweza kutibu minyoo hookworms,tapeworms na wengineo kwa uhakika kwa watoto wadogo na watu wazima. pia ni minyoo aina gani...
3 Reactions
73 Replies
163K Views
Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini? Na ni sahihi kwa watu hawa kutokufanana makundi yao?
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu, Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja. Hivi kuna madhara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama?
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Nina miez takriban tisa kwenye ndoa yangu lakin changamoto kubwa inayonikabil ni tatzo la kukoroma usiku, hali inayomtesa sana mke wangu kipenzi. Tafadhali kama kuna mwenye dawa yoyote au njia...
0 Reactions
6 Replies
881 Views
Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
1 Reactions
5 Replies
783 Views
Nahisi nina shida ya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo! Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye...
1 Reactions
0 Replies
605 Views
Zamani tulijibiwa na madaktari,saivi wanajibu machinga,wakulima na mazezeta waliodata kwa HIV
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Dalili za hatari wakati wa Ujauzito Wanawake wajawazito ni vizuri wakajua kuhusu viashiria vya hatari (matatizo wakati wa ujauzito) hii ni muhimu kwa kuhakikisha afya yao na afya ya mtoto/watoto...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Za leo wandugu wapendwa, napenda kufahamu mafuta ya simba husaidia nini katika mwili wa binadamu. Asanteni
0 Reactions
11 Replies
25K Views
Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au? ◇ Maduka mengi ya dawa hawauzi hizi Kit. ◇ Yale maduka machache yanayouza unakuta wanauza kimachalemachale kama vile wanavyofanya wauza bangi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom