Kwa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) vitamin B complex ni 'dawa' yenye msaada mkubwa sana!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,698
2,000
Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana.

Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na sifa ya Vitamin B ni kusaidia uzalishwaji wa seli mpya mwilini.

Wengi wenye tatizo la sonona wana kuwa na upungufu wa baadhi ya kemikali kwenye brains na zile cell zinazosababisha mzunguko wa umeme kwenye mwili wa binadamu hasa sehemu ya ubongo.

Kwa hiyo matumizi ya Vitamin B complex husaidia kwa kiwango kikubwa kutengenezwa kwa seli mpya zinazopungua kwenye ubongo na hivyo kufanya mtu mwenye msongo wa mawazo (sonona) kupata nafuu kubwa.

Wale wote wenye ndugu au jamaa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) washaurini watumie vidonge vya vitamin B complex.

Hivi ni over the counter pills. Havihitaji kuwa na cheti cha daktari kwa hiyo ni supplements ambazo mtu anaweza akazitumia.
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,698
2,000
Kwanini usiwqshauri wale matango yenye vitamin B ya kutosha kuliko hizo? anyway..
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing vitamins, and that is where their problem begins...
 
Super Handsome

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
3,803
2,000
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing fat, and that is where their problem begins...
Thank u!
 
nacho1

Member
Aug 31, 2014
59
125
Good question. Watu wengi wenye upungufu wa vitamin wanakuwa hawana uwezo wa ku absorb fat from their small intenstines. Kumbuka kuwa vitamins doesn't go through a digestion process. Its either fat soluble or water soluble. So hawa watu hata wakila matunda yenye vitamins kwa wingi kiasi gani, their bodies are not capable of absorbing vitamins, and that is where their problem begins...
Mtu mwenye shida ya kuabsorb fat from intestines anawezaje kutatua hilo tatizo mkuu au ndio haiwezekani kabisa
 
Pregabalin

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
556
250
Nichumu Nibebike, Je, mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwa sababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The bond

Member
Jul 24, 2019
41
95
Je mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwasababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishon walikosa jibu kutokana na tatizo lako kuwa LA kiimani zaidiii but nawezaa kushauri salii sana na tumia dawaa hiloo ..Never give up before you turn up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Rich

New Member
Jul 26, 2015
1
20
Nichumu Nibebike, Je, mimi naweza tumia pia nina hali ya kukata tamaa ya kusoma chuo nina mawazo meng kias kwamba nimebaki dilema najilazimisha tu kusoma kwa sababu ya kuokoa maisha yangu baada ya kuzunguk kwa wagang imeonekan nimefanyiw mchez tu nipo shule nikipingan na hii nafs lakin inaniumiza mda wote inanip mawaz je nikitumia zitanisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu
Mwishon walikosa jibu kutokana na tatizo lako kuwa LA kiimani zaidiii but nawezaa kushauri salii sana na tumia dawaa hiloo ..Never give up before you turn up

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom