Mafuta ya simba

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Za leo wandugu wapendwa, napenda kufahamu mafuta ya simba husaidia nini katika mwili wa binadamu. Asanteni
 
mafuta ya simba huweza saidia kupunguza maumivu ya joint na muscles,ila wakati mwa kutumia kuwa muangalifu maana ukiya inhale sana yatasababisha respiratory problem.
 
mafuta yatokanayo na wanyama sio mazuri sana kwa afya, yanahusishwa sana na matatizo ya moyo. Chanzo kizuri cha mafuta mwilini ni yale yatokanayo na mimea mfano karanga, korosho nk.

kama ni matibabu ya misuli na viungo sijui lakini nina shaka! na ku-inhale mafuta itasababisha respiratory problems hata kama ni kidogo; kwa nini uya-inhale?
 
Asanteni sana wandugu kwa michango yenu, lakini sijaelewa vizuri kuhusu ku inhale! maana nadhani kama nikupaka ni nje ya mwili, sasa hapa uta inhale vipi?
 
Ni kweli ni dawa ya muscles au viungo, unajichuwa nayo. Ila watu wengine wanaamini ukimpa mtoto wako kiasi fulani eti akiwa mkubwa atakuwa jasiri na mkali!!! Sasa hapo tena ni hatari maana kwa ambao ninawafahamu wametumia mafuta ya simba ni wakali mno na hasira juu, hawakamatiki. Nawashauri acha mtoto awe natural kwa tabia yake ya asili achana na artificials. Labda kama atakuwa jasiri wa kuchangia issues bila woga JF basi mpe!!!!
 
Unampaje,.njia ipi inatumika kumchanja,.kumpaka,.kumnywesha au?
 
We kama una maumivu jichulie maumivu yanaisha then unaachana nayo babu yangu sijui analetewa na nani ngoja nimuulize.
 
Kama ni kweli mtoto akinyweshwa mafuta ya simba anakuwa mkali,mimi wa kwangu nitampa mafuta ya kaka kuona.
 
We ni manager nn paka mwili changanya na mafuta ya mgando watu watakuhofia na kuku ogopa bila kujua nn chanzo thn utawatawala kirahisi sn pili ndo mambo ya kujichulia sehemu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom