Dyslexia ni changamoto katika ubongo ambayo husababisha matatizo katika kusoma, kuandika, na kuelewa lugha. Hii ni kutokana na shida katika jinsi ubongo unavyochakata habari za maandishi.
Watu...
Maana yake
“Dyslexia is a learning disorder that affects a person's ability to read, write, spell, and speak.
It is a neurological condition that makes it difficult for people with dyslexia to...
Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
Unatakiwa kufanya yafuatayo
1. Hakikisha umeacha punyeto kabisa
Ili upone tatizo hili hutakiwi kuwa mtu wa kubadilika mawazo hovyo. Kama umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako...
Wakuu katika mazingira ambayo kwa sasa sipendi kuyaelezea kuna mtu nimemshuhudia
akiweka kidonge cha Valium kwenye soda aina ya Cocacola. Ningependa kujua kutoka
kwenu madhara ya mchanganyo kama...
Subscribe
Supercentenarians who live past 110 have 9 things in common, according to a scientist who studies them
Serafina Kenny
Jul 10, 2024, 4:02 AM ET
Share
Read in appDrazen Zigic/Getty...
Mimi mwanaume miaka 28 nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno ninapolala usiku kwa takriban miaka miaka 9. Nimekwenda hospital nyingi kama vile General hospital in Dodoma, Muhimbili, Agha Khan...
Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto.
Siwezi kulala, siwezi kutembea hata...
Kuna mbwa hapa nyumbani amepata kichaa cha mbwa na alikua anatulambalamba tukiwa tunamtilia chakula!
Hizi sindano kwa government had umalize dozi unaweza gharamia sh ngap?
Nishachomaga siku...
Wakuuu hongeren kwa mapambano ya kujenga taifa
Nataka jua faida ya ndimu ya unga na pia kama inaweza kuwa na madhara pia
Na je ina virutubisho sawa na ndimu za kawaida
Na je ina madhara yoyote...
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....
Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja...
Hello, habari za muda huu! Wapendwa, naombeni ushauri kutoka kwa yeyote aliye na uzoefu na hali kama yangu na jinsi alivyofanikiwa kuondokana nayo. Mimi ninasumbuliwa sana na tatizo la kupata...
Habari zenu, naombeni msaada nimekuwa na tatizo la fungasi sehemu za siri kwa muda.
Nilipima VDRL nikawa sina kitu ndio nikaambiwa kwamba ni fungus ila mpaka kujua hilo nilikuwa nimeanza kutoka...
Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi.
No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu.
No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa...
Habari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada...
Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa...
Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu.
Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.