International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huku Viongozi wa ngazi za Juu wa Iran wakiiangamizwa, nimeshuhudia Mashabiki na wafuasi wa Iran hasa wa dini ile waliopo Tanzania, Wakifurahia na kushangilia picha feki zilizotengenezwa na AI...
12 Reactions
37 Replies
767 Views
Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili...
3 Reactions
6 Replies
362 Views
Iran imeushambulia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dubai kwa drone ya kivita leo Jumamosi March 07,2026. Tayari Mashirika ya ndege ya Kimataifa ikiwemo Emirates yametangaza kusititisha safari...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Ambassador Stephen Patrick Mbundi Appointed New Secretary General of the EAC The Government of the United Republic of Tanzania warmly welcomes the appointment of Ambassador Stephen Patrick Mbundi...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
𝗖𝗢𝗠𝗠𝗨𝗡𝗜𝗤𝗨𝗘 - 𝟮𝟱™ 𝗢𝗥𝗗𝗜𝗡𝗔𝗥𝗬 𝗦𝗨𝗠𝗠𝗜𝗧 𝗢𝗙 𝗧𝗛𝗘 𝗘𝗔𝗦𝗧 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗖𝗔𝗡 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗨𝗡𝗜𝗧𝗬 𝗛𝗘𝗔𝗗𝗦 𝗢𝗙 𝗦𝗧𝗔𝗧𝗘
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni? Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule...
0 Reactions
4 Replies
207 Views
Kulingana na intelijensia ya Urusi Israel kwenye siku 3 za mwanzo tu walipoteza zaidi ya watu 1210+ na hao ni wanajeshi na watu wa vitengo tu,na ripoti hii haizungumzii raia ambao wapo kwenye...
7 Reactions
22 Replies
654 Views
Marekani alishambulia water desalination plant ya Iran ambayo huchuja maji ya bahari At the Same Israel na UAE na nchi nyingi za kiarabu wanategemea aina hiyo hiyo ya mitambo. Iran nae akajibu...
7 Reactions
12 Replies
451 Views
Leo kusingekuwa na NASA bila ya Mjerumani, kwa kifupi space program yote ya Marekani chimbuko lake ni wanasayansi wa chama cha NAZI kutoka Ujerumani. Maendeleo makubwa sana ya makombora ya ICBM...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa...
12 Reactions
62 Replies
1K Views
Iran amesema hatoshambulia nchi za kiarabu baada ya kufyeka US bases zote kwenye eneo....Lakini kwa masharti kuwa iran ikishambuliwa tena kupitia nchi za kiarabu na US baadhi nchi husika...
2 Reactions
6 Replies
409 Views
Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na Mojtaba Khamenei aliyechukua mikoba ya Ayatollah Ali Khamenei inasemekana wamefyekelewa mbali na kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel. Awali Rais huyo...
3 Reactions
Replies
Views
Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani...
7 Reactions
87 Replies
1K Views
Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black...
3 Reactions
13 Replies
444 Views
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo...
9 Reactions
38 Replies
577 Views
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe. Nani walihusika...
13 Reactions
90 Replies
3K Views
Kwa usalama wa Marekani na washirika wake kama Marekani bado inaota ndoto za miaka ya 50s ya kuja kupambana ki vita na China ni vyema viongozi wa Marekani hilo wazo wakalifuta kuanzia sasa...
17 Reactions
61 Replies
1K Views
My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
2 Reactions
18 Replies
332 Views
Mwanzilishi NetNaija, Emmanuel Analike, ameamriwa kuendelea kuzuiliwa katika Gereza la Kuje nchini Nigeria baada ya kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ukiukaji wa hakimiliki. Mashtaka: Tume ya...
2 Reactions
20 Replies
602 Views
Back
Top Bottom