International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi...
0 Reactions
5 Replies
663 Views
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kristi Noem, alikabiliwa na msururu wa madai ya utovu wa nidhamu mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge siku ya Jumatano. Madai hayo yalijumuisha masuala kuhusu mipango...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Kinachofanywa na Iran ni totaly utoto, wana kila sababu ya kurusha makombola Israel lakini wrong strategy kushambulia mataifa ya Kiarabu ambao ndio majirani zake. Marekani sasa inapata uhalali wa...
20 Reactions
96 Replies
2K Views
Hakuna free lunch hapa duniani. Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa...
3 Reactions
3 Replies
133 Views
Fuel prices are climbing across Africa as escalating conflict involving the United States, Israel, and Iran adds pressure to global oil markets, analysts say. Crude prices have jumped in recent...
1 Reactions
2 Replies
191 Views
https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili...
7 Reactions
17 Replies
682 Views
Kama Iran na washirika wake wanaamini Trump ni zao la Putin, kwa nini pia wasiamini kwamba Trump analinda masilahi ya Putin kwa kuwapiga Iran? Siku zote kobazi wamekuwa wakiamini, uchaguzi mkuu...
2 Reactions
7 Replies
258 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametoa onyo kali akitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo litachukua hatua za kumuua kiongozi yeyote wa Iran atakayeteuliwa kuwa mrithi wa Ayatollah Ali...
5 Reactions
25 Replies
651 Views
Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita. Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa...
1 Reactions
3 Replies
199 Views
Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Naam Ni mengi yamejiri juu yako na heshima yako imeshushwa! Umetafutwa ugomvi kwa muda mrefu ili kobe atoe shingo, umefedheheshwa Iran na hata ile mipango yako ya Nyuklia imekuwa ikidhibitiwa ili...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
Salaam Nyakati hizi ni mengi yanazungumzwa na kuandikwa kuhusu yanayo endelea Iran na Marekani ila tufikiri nje ya box kidogo kuhusu Iran. Inatambulika Taifa lenye nguvu duniani ni Marekani...
4 Reactions
50 Replies
9K Views
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 📍 Arusha, Tanzania 🗓️ 7th March, 2026 🔹 During the Summit, the Heads of State are expected to launch the EAC Customs Bond; a single regional customs guarantee...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Police were stationed outside the Milton Park offices of opposition politician Tendai Biti after reports that unidentified men in unmarked vehicles confronted members of the Constitution Defenders...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Wallah hawa jamaa wangejidhatiti sawasawa kwenye nyanja ya teknorogy na mavyuma vyuma, bila shaka Israel wangemfuta na hata nchi zote za Warabu wangezifuta vilevile na hata Ulaya wangemkoma...
3 Reactions
71 Replies
996 Views
Leo tarehe 3 Machi, 2026, wakati ulimwengu unatikiswa na vita inayoyoelendela mashariki ya kati, kwa upande wa Ulaya na washirika wa NATO wamejikuta na mtikisiko mwengine, hii ni baada ya uamuzi...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na...
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Zimbabwean Minister Barbara Rwodzi has been named Tourism Minister of the Year (Africa) at ITB Berlin 2026 in Germany, officially hosted by Angola. The event, celebrating its 60th anniversary...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 🍃 The EAC Bond was rolled out in January, 2026.
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Viongozi wachache waliosalia Iran wajaribu kumfikia Trump azungumze nao ila awaambia wamechelewa, maana jeshi la Iran limesambaratika, hawana jeuri ya kuongea naye. =========== Rais wa Marekani...
3 Reactions
19 Replies
509 Views
Back
Top Bottom