International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

  • Redirect
Au huo ukoo umeamua kufa? Baba kauawa,mama kauawa,sasa mnamchagua Mojtaba Khamenei,huku ni kumwandalia kifo tu.Ingekuwa ni mimi Mojtaba na surrender na kusema sitaki vita
0 Reactions
Replies
Views
Trump: Nilimuokoa Khamenei kutokana na kifo kibaya sana Katika chapisho kwenye Ukweli wa Kijamii, Rais Trump alimkosoa Kiongozi Mkuu wa Iran kwa kudai ushindi dhidi ya Israeli, akisema aliokoa...
8 Reactions
141 Replies
5K Views
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao? Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili...
8 Reactions
49 Replies
819 Views
Nimelia kuona Teheran ikipigwa mabomu kila mahali,natamani watawala wajisalimishe wananchi wapate nafuu
8 Reactions
44 Replies
817 Views
Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio...
3 Reactions
2 Replies
200 Views
Video ☝️☝️☝️
11 Reactions
43 Replies
709 Views
Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia...
5 Reactions
33 Replies
840 Views
Israel, kutokana na kuzungukwa na mahasimu imewekeza sana kwenye kuwalinda wananchi wake, ambapo katika nchi nzima kuna nyumba za ardhini ambazo hata kama bomu likipigwa, waliopo chini wanakuwa...
7 Reactions
8 Replies
515 Views
Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi. Habari...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Marekani yapungukiwa na mifumo ya ulinzi wa makombora mashariki ya kati - yataka msaada korea kusini Marekani yaruhusu urusi kuuza mafuta kwa nchi za magharibi baada ya hormuz kufungwa na...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba Iran iliipiga Israel kwa makombora na kwa nguvu sana. [emoji298]️BREAKING Trump: 'Israel got hit really hard, Oh Boy, those ballistic missiles took...
22 Reactions
155 Replies
7K Views
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli. ======= An entirely Christian town...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Kumbe jamaa walitumia makombora ya kizamani sasa wameonya vita ijayo na Israel itakua vita ngumu ambayo Israel watapata uharibifu mkubwa [emoji3544] 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 [emoji3544] [emoji1130] |...
15 Reactions
85 Replies
4K Views
Lengo lao ilikuwa wakirusha zile penseli na vipepeo kama walivyokuwa wanafanya basi majirani nao wangejibu mapigo na hivyo kupelekea Mashariki ya Kati nzima kuingia vitani. Au wameishiwa penseli...
1 Reactions
6 Replies
252 Views
Russia is helping Iran target US military forces, officials say Middle East Russia has shared intelligence with Iran that could help Tehran strike US warships, aircraft and other American assets...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran. India has allowed an Iranian warship to dock...
4 Reactions
6 Replies
332 Views
KATI YA AJENDA ILIYOKUWA IKIMTESA IRAM WALIAMBIWA KABLA YA MAZUNGUMZO YOYOTE AOMBE RADHI NCHI JORA. ALIZOZIPIGA TUENDELEE HATIMAE 🚨 Iran's President Masoud Pezeshkian apologised on Saturday to...
1 Reactions
14 Replies
469 Views
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦: 𝗔𝗺𝗯𝗮𝘀𝘀𝗮𝗱𝗼𝗿 𝗦𝘁𝗲𝗽𝗵𝗲𝗻 𝗣𝗮𝘁𝗿𝗶𝗰𝗸 𝗠𝗯𝘂𝗻𝗱𝗶 𝗡𝗲𝘄 𝗦𝗲𝗰𝗿𝗲𝘁𝗮𝗿𝘆 𝗚𝗲𝗻𝗲𝗿𝗮𝗹 𝗼𝗳 𝘁𝗵𝗲 𝗘𝗔𝗖. Ambassador Stephen Patrick Mbundi is a senior Tanzanian diplomat and government official with over 28 years of...
1 Reactions
1 Replies
248 Views
Tanzania DSE na Kenya NSE . 🎯Uchumi Jumla nchi zote mbili zinaonesha ustahimilivu wa kiuchumi lakini kwa mitazamo tofauti.Tanzania inaonesha misingi imara zaidi ya ukuaji (Strong Fundamentals)...
2 Reactions
2 Replies
174 Views
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa...
8 Reactions
62 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…