International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Inakadiriwa karibia nusu(47%) ya wakazi wote katika miji na majiji Africa chini ya jangwa la Sahara wanaishi katika makazi duni sana au slums ambayo yana msongamano mkubwa, yamejengwa hovyo bila...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabeberu ni manyang'au!! ni majambazi, mbele ya pesa hayana simile!! Huwezi kuamini kuwa mahakama ya juu ya London imeamua kuwa dhahabu yote ambayo serikali ya Venezuela iliyokuwa imeiweka akiba...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Urusi imefanya mashambulizi mabaya kote Ukraine, huku Kyiv ikizidisha juhudi zake za kutwaa tena eneo la Kherson kusini lililokaliwa. Watu watano waliuawa na 26 kujeruhiwa wakati makombora...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
"GET READY FOR WAR" Official Acc ya Jesh la Peoples Liberated Army of China kwenye mtandao wa kijamii wa China, Weibo, imepost ujumbe ukisema" Kuwa Tyari kwa Vita". Vifaru na vyombo vya kivita...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano. Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi...
0 Reactions
3 Replies
733 Views
Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu. Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi. The Afghan government says one its officers was killed in...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza...
1 Reactions
3 Replies
776 Views
Kiongozi wa Kijeshi wa Nchi hiyo, Min Aung Hlaing ameongeza muda wa hali ya hatari kwa Miezi 6 baada ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Kijeshi kuunga mkono kwa kauli moja huku akisema kukosekana...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi. Zelenskiy...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Papa Francis Amesema Anaweza Kuachia Cheo Chake Kutokana Na Kusumbuliwa Kiafya Hasa Goti Lake Ikiwa Atafanya Hivyo Basi Atafuata Nyayo Za Mtangulizi Wake Papa Benedict Ambaye Alipojiuzuru Nafasi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako...
10 Reactions
142 Replies
13K Views
Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine. Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo...
10 Reactions
116 Replies
8K Views
Mambo yanazidi kuwa magumu na kama nilivyokwisha kusema kwamba Putin kashapoteza Dira ya vita Duniani: Vita ya Ukraine, Putin amepoteza Dira, mpaka sasa haelewi afanyeje kumaliza vita...
16 Reactions
106 Replies
7K Views
Hawa watu kwa kweli huwezi shindana nao,hata ufanyeje,wana akili za hali ya juu sana katika kupanga operation zao. ====== Mnamo Novemba 2020, msafara uliokuwa umembeba Mohsen Fakhrizadeh...
10 Reactions
38 Replies
6K Views
Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army). Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…