The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,484
- 12,310
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moderator asafali/tafadhali/tahadhari nk"GET READY FOR WAR"
Official Acc ya Jesh la Peoples Liberated Army of China kwenye mtandao wa kijamii wa China, Weibo, imepost ujumbe ukisema" Kuwa Tyari kwa Vita".View attachment 2308319
Vifaru na vyombo vya kivita vyasafirishwa tayari kwenda fujian.
Moderator rekebisha hitilafu ya kichwa cha habari
Mods wanaendelea kunikaushia ilimradi tu nidhalilike na kichwa cha uzi😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moderator asafali/tafadhali/tahadhari nk
Naomba usaidie kubadili title ya mwamba... Nashindwa kujua anatoka mkoa gani.
Yote heri cha muhimu ujumbe umefika.
Shout out to team Putin wa Manzese
[emoji16][emoji16][emoji16]Mods wanaendelea kunikaushia ilimradi tu nidhalilike na kichwa cha uzi[emoji23]
Watanzania mnashabikia Vita. Na USA & Europe Ndio wasaidizi wetu ktk bajeti. Ivi nyinyi vijana ambao umri wenu mdogo mnalijua ilo kwamba USA & Europe. Ndio wasaidizi wetu. Au mnakuwa kama waukraine walivyokuwa wanakimbia na mbwa. Baadae MTU anamtupilia mbali. Wengine wamekimbia wameaacha wake zao na watoto. Acheni ushabiki maaandazi
Hakuna cha kudhalilika, tutafurahi tu na kutaniana, ni mpumbavu tu ndio anaweza mdharau au kumdhihaki mtu aliyekosea, sote tunakosea kwa sababu mbalimbali(ubinadamu ama vifaa vyetu)Mods wanaendelea kunikaushia ilimradi tu nidhalilike na kichwa cha uzi😂
Vijana WA hovyo hawa hawajui kitu,washenzi kabisa.hao warussia ana wachina hawana msaaada wowoteWatanzania mnashabikia Vita. Na USA & Europe Ndio wasaidizi wetu ktk bajeti. Ivi nyinyi vijana ambao umri wenu mdogo mnalijua ilo kwamba USA & Europe. Ndio wasaidizi wetu. Au mnakuwa kama waukraine walivyokuwa wanakimbia na mbwa. Baadae MTU anamtupilia mbali. Wengine wamekimbia wameaacha wake zao na watoto. Acheni ushabiki maaandazi
Unasema wachina na Warusi hawana msaada wakati wewe hapo umejaza vitu made in China kwako.Vijana WA hovyo hawa hawajui kitu,washenzi kabisa.hao warussia ana wachina hawana msaaada wowote
Ona ulivyo mweupe kichwani.Unasema wachina na Warusi hawana msaada wakati wewe hapo umejaza vitu made in China kwako.
Kama ikibidi UCHINA atetee tu maslahi yakeKati ya vita tusiombee ni ya Taiwan na China, wanafunzi wetu wataacha shule maana tutakosa karatasi
[emoji23][emoji23]tatizo wengi ni wana bongofleva mambo mengi hawafatilii zaidi ya ushabiki mbumbumbu!Vijana WA hovyo hawa hawajui kitu,washenzi kabisa.hao warussia ana wachina hawana msaaada wowote
Mchina wa watu wa mbagala😅😅😅Mods wanaendelea kunikaushia ilimradi tu nidhalilike na kichwa cha uzi😂