KWA NINI USA HUWA HAIBANI MYAMAR?

KWA NINI USA HUWA HAIBANI MYAMAR?

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,367
Reaction score
5,941
Naomba kufahamu, ni kwa nini USA na nchi tajiri za magharibi huwa haizibani na kuiwekea vikwazo nchi ya Myamar ingawa ni muda mrefu sasa naona inavunja haki za binadamu na kuharibu Demokrasia?

Myamar ina siri gani na USA? Mbona wale watawala wa kijeshi ni kama vile wanaishi wanavyotaka katika ulimwengu wenye mamlaka mbalimbali za kulinda haki za raia kama UN?

Nimeuliza hivyo kwa sababu, USA huwa ni mwepesi sana kutoa matamko hata kuiwekea vikwazo nchi inayovunja haki za binadamu na kuharibu Demokrasia!

Hali ni tofauti kwa Myamar, ambapo ni muda sasa umepita tangu jeshi lichukue nchi. Pia, raia waliandamana na kuuliwa lakini hakukua na sapoti ya USA. Pia wananchi wa Rohingya waliuawa wengi tu.

Hivi karibuni kiongozi wa kiraia aliyetolewa na jeshi madarakani anazidi kuhukumiwa miaka gerezani.

Kwenu wajuzi wa siasa za kimataifa!
 
Hawana mafuta. Wana Ruby tu katika Jimbo la Mongok na ndio nchi insyoongoza kwa madini ya Ruby Bora inayofuatia ni msumbiji. Kwa iyo Marekani Haina time na Ruby.
 
Back
Top Bottom