Lazima Ulimwenguni kuwe na Balance of Power

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu.

Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Sahara.

Mmarekani mwenye nguvu alisababisha South Afrika kuchelewa sana kuupata Uhuru wake. Na Vita vya Muda mrefu kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika

ILA KWA NGUVU ZOTE UBABE WA KUVAMIA MATAIFA MENGINE HURU NI KITU CHA KUPINGWA. Kama tulikemea Ukoloni tukemee pia Ukoloni kupenyezwa kwa mataifa mengine pasipo mipaka ya rangi au dini zetu.

Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Kama tulisimama kukemea Ukoloni wa Marekani kwa mataifa mengine mfano Syria na Libya, Mataifa ambayo kuna idadi kubwa ya Wakristo na Waislam na Historia ya imani zote hizo mbili.

Kwanini tusimame na Urusi kwa anachokifanya, Kifupi Vita imeisha tayari Phase ya Kwanza na Urusi kashindwa ni suala la kupeleka vita ionekane kuchukua muda kusudi Urusi iweze Ku-Bargaining Demand zake na nafasi yake kwenye Meza ya Dunia.

Urusi kurudi kuwa kama taifa dogo Duniani ni Hatari sio kwa Afrika tu na Hata China anafahamu hilo

Tatizo Pro Russia wengi wamesababisha Tuhamie kwenye Ushabiki na kutukana badala ya Facts
 
Watu wanaleta sana ushabiki wa kijinga katika haya mambo. Huwa nasikitika sana.

Kwa maoni yangu ushabiki wa kijinga umeliharibu sana hili Jukwaa la Kimataifa. Limekuwa tofauti na zamani.
 
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu.

Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Sahara.

Mmarekani mwenye nguvu alisababisha South Afrika kuchelewa sana kuupata Uhuru wake. Na Vita vya Muda mrefu kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika

ILA KWA NGUVU ZOTE UBABE WA KUVAMIA MATAIFA MENGINE HURU NI KITU CHA KUPINGWA. Kama tulikemea Ukoloni tukemee pia Ukoloni kupenyezwa kwa mataifa mengine pasipo mipaka ya rangi au dini zetu.

Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Kama tulisimama kukemea Ukoloni wa Marekani kwa mataifa mengine mfano Syria na Libya, Mataifa ambayo kuna idadi kubwa ya Wakristo na Historia.

Kwanini tusimame na Urusi kwa anachokifanya, Kifupi Vita imeisha tayari Phase ya Kwanza na Urusi kashindwa ni suala la kupeleka vita ionekane kuchukua muda kusudi Urusi iweze Ku-Bargaining Demand zake na nafasi yake Duniani.

Urusi kurudi kuwa kama taifa dogo Duniani ni Hatari sio kwa Afrika tu na Hata China anafahamu hilo

Tatizo Pro Russia wengi wamesababisha Tuhamie kwenye Ushabiki na kutukana badala ya Facts
Mkuu

Naomba nikunukuu:

"... Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki.."

1. Je, unaweza kueleza ni dini gani hiyo unayoiongelea?

2. US alipovamia Venezuela, Cuba (kuwawekea vikwazo na kutaka kupindua serikali), huko Syria (wapo Hadi leo), huko Iraq (uongo wa WMD), huko Yugoslavia etc. Je, misingi gani ya haki za binadamu aliyokuwa anaisimamia.

3. Je, unajua kwa undani chanzo cha huu mgogoro unaouongelea hapa?

Kama CCM imeweza kukutawala kutokana na upumbavu wako, ndio kweli utaweza kuwa na akili za kumuelewa Putin..?

Wewe na akili yako ndogo, pambana na Tozo Wala usijifanye kuwa na burasa na hekima juu ya mambo ya nchi zingine huko.

Pia, Nakushauri Sana ujiepushe na ushabiki wa "double standards",
 
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu.

Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Sahara.

Mmarekani mwenye nguvu alisababisha South Afrika kuchelewa sana kuupata Uhuru wake. Na Vita vya Muda mrefu kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika

ILA KWA NGUVU ZOTE UBABE WA KUVAMIA MATAIFA MENGINE HURU NI KITU CHA KUPINGWA. Kama tulikemea Ukoloni tukemee pia Ukoloni kupenyezwa kwa mataifa mengine pasipo mipaka ya rangi au dini zetu.

Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Kama tulisimama kukemea Ukoloni wa Marekani kwa mataifa mengine mfano Syria na Libya, Mataifa ambayo kuna idadi kubwa ya Wakristo na Historia.

Kwanini tusimame na Urusi kwa anachokifanya, Kifupi Vita imeisha tayari Phase ya Kwanza na Urusi kashindwa ni suala la kupeleka vita ionekane kuchukua muda kusudi Urusi iweze Ku-Bargaining Demand zake na nafasi yake Duniani.

Urusi kurudi kuwa kama taifa dogo Duniani ni Hatari sio kwa Afrika tu na Hata China anafahamu hilo

Tatizo Pro Russia wengi wamesababisha Tuhamie kwenye Ushabiki na kutukana badala ya Facts

Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu.

Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Sahara.

Mmarekani mwenye nguvu alisababisha South Afrika kuchelewa sana kuupata Uhuru wake. Na Vita vya Muda mrefu kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika

ILA KWA NGUVU ZOTE UBABE WA KUVAMIA MATAIFA MENGINE HURU NI KITU CHA KUPINGWA. Kama tulikemea Ukoloni tukemee pia Ukoloni kupenyezwa kwa mataifa mengine pasipo mipaka ya rangi au dini zetu.

Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Kama tulisimama kukemea Ukoloni wa Marekani kwa mataifa mengine mfano Syria na Libya, Mataifa ambayo kuna idadi kubwa ya Wakristo na Historia.

Kwanini tusimame na Urusi kwa anachokifanya, Kifupi Vita imeisha tayari Phase ya Kwanza na Urusi kashindwa ni suala lap
kupeleka vita ionekane kuchukua muda kusudi Urusi iweze Ku-Bargaining Demand zake na nafasi yake Duniani.

Urusi kurudi kuwa kama taifa dogo Duniani ni Hatari sio kwa Afrika tu na Hata China anafahamu hilo

Tatizo Pro Russia wengi wamesababisha Tuhamie kwenye Ushabiki na kutukana badala ya Facts
Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Rasmi, Urusi haitambui dini yo yote kulingana na mtazamo wa Kikomunisti. Vipi useme watu wanaegemea upande wa Urusi kwa sababu ya dini?
 
Ungekuwa unasikiliza mijadala mbalimbali ya nchi za Kiarabu kupitia Channel zao....Wanasema Uislamu unawakilishwa vizuri na Ukomunisti wa Urusi lakini si Al Qaeda wala ISS

Na hapa wengi wanaosimama na Iran wapo na Urusi pia
 
Kherson kwenda mykolayv na watakuja kufika Odessa
Moskov aliposogelea Bandari ya Odessa nini kilimpata....Halafu hatua kama hiyo Hitler alifikia pale mji wa Stalingrad kilomita kidogo aione Moscow

Muda utazungumza kama atasonga mbele zaidi ya Hapo akiwa kashapoteza karibu ya asilimia 60 au 70 ya askari wake wenye uzoefu kuanzia wale waliokwamia Uwanja wa ndege karibu na Bucha Kyiv.

Sasa hivi ana recruits upya unajua gharama ya kureplace askari ambae ana uzoefu mrefu kwa wapya inakuaje?
 
Mimi mwenyewe sipendi weak Russia ila sipendi uzembe wao kiteknolojia, maisha yao na siasa zao. Napenda Russia imara yenye uongozi mzuri na mahusiano mazuri na majirani zake sio kila siku kuvamia. Hakuna uvamizi nakubaliana nao ila wale orcs wa mtandaoni kazi kutetea makosa kwa visingizio vya kijinga kama: mbona hata Marekani iliwahi vamia au kwanini Ukraine isijisalimishe
 
Ni kweli na ndio wengi Pro Russia wa JamiiForum wapo hivyo
 
Ungekuwa unasikiliza mijadala mbalimbali ya nchi za Kiarabu kupitia Channel zao....Wanasema Uislamu unawakilishwa vizuri na Ukomunisti wa Urusi lakini si Al Qaeda wala ISS

Na hapa wengi wanaosimama na Iran wapo na Urusi pia
Alqaeda na ISIS sio waislamu
 
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu.

Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Sahara.

Mmarekani mwenye nguvu alisababisha South Afrika kuchelewa sana kuupata Uhuru wake. Na Vita vya Muda mrefu kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika

ILA KWA NGUVU ZOTE UBABE WA KUVAMIA MATAIFA MENGINE HURU NI KITU CHA KUPINGWA. Kama tulikemea Ukoloni tukemee pia Ukoloni kupenyezwa kwa mataifa mengine pasipo mipaka ya rangi au dini zetu.

Shida wengi wanaojikuta wakiegemea upande wa RUSSIA ni sababu ya misingi ya kidini na sio kusimama katika Haki. Na hasa Pro Russia wengi.

Kama tulisimama kukemea Ukoloni wa Marekani kwa mataifa mengine mfano Syria na Libya, Mataifa ambayo kuna idadi kubwa ya Wakristo na Historia.

Kwanini tusimame na Urusi kwa anachokifanya, Kifupi Vita imeisha tayari Phase ya Kwanza na Urusi kashindwa ni suala la kupeleka vita ionekane kuchukua muda kusudi Urusi iweze Ku-Bargaining Demand zake na nafasi yake Duniani.

Urusi kurudi kuwa kama taifa dogo Duniani ni Hatari sio kwa Afrika tu na Hata China anafahamu hilo

Tatizo Pro Russia wengi wamesababisha Tuhamie kwenye Ushabiki na kutukana badala ya Facts
Unachokifanya wewe unawahi golini mpira unauwacha nyuma,kwanza toa chanzo cha msingi na kinachoeleweka cha huu mzozo Ili tujue ni ProNato au prorusia wa kulaumiwa.
 
Russia anamuona Ukraine ni Sphere of Influence sababu ni Mwanachama wa zamani wa Soviet na Majirani zake wengine ambao bado anaamini ipo Siku Umoja utarudi

Anapigania nafasi yake Ulimwenguni na Heshima yake kuwa Super Power kutokana na umiliki wa Nukes.

Ukraine anaamini yeye ni taifa Huru ana Haki kujenga mahusiano anayoyataka na Taifa lolote kwa namna yoyote Ulimwenguni

Marekani anajiona ni Prefect wa Ulimwengu au Kaka Mkuu ambae analinda Masirahi yake yatakayomfanya aendelee kuwa Kaka Mkuu na Heshima yake na kimtazamo ni Maadui na Urusi na kiitikadi.

Na anafanya kila kitu Mfumo wake kuhusu Demokrasia na kuueneza sababu unailinda nafasi yake Ulimwenguni bahati mbaya nchi nyingi za Afrika na Asia haziamini katika Demokrasia kutokana na aina za Tawala zilizotangulia Utemiship na Usultan
 
Back
Top Bottom