Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha...
Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe.
KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba...
Hapa kaz tuu kwenye anga Ukraine siyo maboya ,tafuten mmekosea wap
Russians launch 12 missiles on eastern Ukraine, 9 of them shot down by air defence units
Ukrainska Pravda
Sun, September 11...
New Zealand itaacha kuwa chini ya ufalme wa Uingereza, itajitangaza Jamhuri
Sep 14, 2022 02:12 UTC
Waziri Mkuu wa New Zealand amesema nchi hiyo hatimaye itaacha kuwa chini ya mfumo wa kifalme wa...
Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa...
Russian troops bombed a reservoir dam in Volodymyr Zelensky’s hometown with the intention of flooding the city, authorities said.
Eight cruise missiles aimed at water equipment hit Kryvyi Rih, a...
Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita...
Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading...
Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza....
Hiki kifaa hatari...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania eti;
Were there...
Wakati wakiendelea kupelekewa moto unaowafanya vijana kuanza kukimbia Kwao wakijifanya Raia na wengine wakitoroka hadi na Baiskeli.
Kichapo kimekua kizito Kiasi hata askari mmoja wa Ukraine...
Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla...
Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika...
Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea.....
Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili...
Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza
Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa...
Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of "using" Prince Harry and being "disrespectful" to the Queen in a wide-ranging interview.
===
Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati...
Vijana wazidi kuikomboa nchi yao huku rais akifanya ziara kwenye miji iliyokombolewa.
Mpaka sasa Urusi wanaendelea kushikilia kwamba hamna mji uliokombolewa, ila uhalsia wanaendelea kutoka nduki...
Rais wa Ukraine,Volodymyr Zelenskyy amewasili katika mji wa Izyum ambao hivi karibuni umekombolewa na Majeshi ya Ukraine baada ya kuvifurusha Vikosi vya Urusi vilivyouteka mji huo Mwanzoni mwa...
Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo...
Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan...