Warusi waanza kukimbilia Kung'ata (Washambulia Hydro Electric Power)

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Wakati wakiendelea kupelekewa moto unaowafanya vijana kuanza kukimbia Kwao wakijifanya Raia na wengine wakitoroka hadi na Baiskeli.

Kichapo kimekua kizito Kiasi hata askari mmoja wa Ukraine kuogopwa kuwa tishio na kukimbiwa na Askari wenye Vifaru na infantry waliopewa lifti.

Sasa wamerudi kwenye mchezo wao wa kujaribu kuhujumu raia. Wameshambulia kwa kombora la masafa marefu (sababu ni hatari hawawezi tena sogeza pua zao karibu washambulie kukwepa HIMARS) Mtambo huo uliopo mji wa Kryvih Ri ili kujaribu chochea mafuriko kuangamiza Raia wasio na hatia.

Na log off Z

Kichapo kiendelee, Warusi wa buza na viunga vyake ruksa kulia nyuma ya keyboard (Ni vizuri kwa afya na pia hakuna anayekuona).

Link:-
 
... HIMARS; imejitwalia utukufu wa ajabu mno kupitia hii vita. Kwa Mpalange waliambiwa humu lile dude ni game-changer wakaishia kutukana; hatimaye mtu mzima kaachwa utupu. Imeandikwa mahali, heri kijana mdogo masikini mwenye busara, kuliko mfalme mzee mpumbavu.
 
Kweli wewe mtoto mdogo,halafu unanitukana mtu mzima na familia ya watoto 3,shame on you!
Umetafsiri matusi sababu unafikiri kutukana kichwani kwako

kwani usipojikaza kiume watu wakaanza kukutia moyo ujikaze kiswahili sanifu si ndio "kukazwa"

Halafu kuwa na watoto nakufikiri kwao katika kutafisri mambo kunaonesha bado pengine hujafika Utu uzima.
 
Wakenya wakiwaambia hamnaga akili mnaanza kulalamika kwamba mnatukanwa.
 
Umetafsiri matusi sababu unafikiri kutukana kichwani kwako

kwani usipojikaza kiume watu wakaanza kukutia moyo ujikaze kiswahili sanifu si ndio "kukazwa"

Halafu kuwa na watoto nakufikiri kwao katika kutafisri mambo kunaonesha bado pengine hujafika Utu uzima.
Ukikua utaacha,nasisitiza Hilo!Mjadala na wewe umekwisha,Huwa mtu akishaanza kutukana basi Huwa sishuki level yake!Uwe na siku njema!
 
... HIMARS; imejitwalia utukufu wa ajabu mno kupitia hii vita. Kwa Mpalange waliambiwa humu lile dude ni game-changer wakaishia kutukana; hatimaye mtu mzima kaachwa utupu. Imeandikwa mahali, heri kijana mdogo masikini mwenye busara, kuliko mfalme mzee mpumbavu.
Mhubiri 4:13
 
Back
Top Bottom