Russia wamerusha makombora mazito 11 kati ya hayo 9 yamedunguliwa

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Hapa kaz tuu kwenye anga Ukraine siyo maboya ,tafuten mmekosea wap
getApp

Russians launch 12 missiles on eastern Ukraine, 9 of them shot down by air defence units​

Ukrainska Pravda
Sun, September 11, 2022 at 11:00 PM·1 min read
1dd6d737b858120b5624137ff5051ec7

VALENTYNA ROMANENKOSUNDAY, 11 SEPTEMBER 2022, 21:44
On the evening of 11 September, Russians launched 11 cruise missiles on eastern Ukraine; 9 of them were shot down by air defence systems.
Source: press service of Air Force Command Skhid (East)
Quote: "On Sunday evening, the enemy launched a missile strike on the Command’s area of responsibility. In total, the enemy has used 11 cruise missiles."
 
akili mgando hawajifunzi tangu wavamie ukraine russia mbinu yao ni ileile.
wenzao ukraine wakianza kurushiwa makombora hawaend kama mingombe wanatulia kwanza.
wakiona makombora mnayorusha ni usless wanasonga wakiona ni konk wanatulia wanamsoma mpinzani

russia nae akiona ukraine wametulia analeta wanajesh maelfu kutawala. asijue mwenzie anawasoma.

ghfla akija kujibu ukraine haanzi na wanajeshi walio ingia kutawala anaanza na backups mnazozitegemea
hivyo kikos cha russian kinawekwa kwenye traps
wakianza counteroffensive inakua ni maafa.
maana askar wa russia wanakua hawana backup.

inakua runing for your life. na Ukraine hapigani kufukuza majeshi ya russia UKRAINE ANAPIGANA kuangamiza majeshi ya russia.

ndo mana unaona ukraine anafanikiwa lakin hana muda na mateka anao pata na wala hawatangazi kama kuna mateka wa kirusia walio patikana.
IMG_7564.jpg
 
akili mgando hawajifunzi tangu wavamie ukraine russia mbinu yao ni ileile.
wenzao ukraine wakianza kurushiwa makombora hawaend kama mingombe wanatulia kwanza.
wakiona makombora mnayorusha ni usless wanasonga wakiona ni konk wanatulia wanamsoma mpinzani

russia nae akiona ukraine wametulia analeta wanajesh maelfu kutawala. asijue mwenzie anawasoma.

ghfla akija kujibu ukraine haanzi na wanajeshi walio ingia kutawala anaanza na backups mnazozitegemea
hivyo kikos cha russian kinawekwa kwenye traps
wakianza counteroffensive inakua ni maafa.
maana askar wa russia wanakua hawana backup.

inakua runing for your life. na Ukraine hapigani kufukuza majeshi ya russia UKRAINE ANAPIGANA kuangamiza majeshi ya russia.

ndo mana unaona ukraine anafanikiwa lakin hana muda na mateka anao pata na wala hawatangazi kama kuna mateka wa kirusia walio patikana. View attachment 2354757
Duuuu had aibu alafu utasikia special operation
 
Aisee mzigo wote huo umekua vyuma chakavu
 
Hapa kaz tuu kwenye anga Ukraine siyo maboya ,tafuten mmekosea wap
getApp

Russians launch 12 missiles on eastern Ukraine, 9 of them shot down by air defence units​

Ukrainska Pravda
Sun, September 11, 2022 at 11:00 PM·1 min read
1dd6d737b858120b5624137ff5051ec7

VALENTYNA ROMANENKOSUNDAY, 11 SEPTEMBER 2022, 21:44
On the evening of 11 September, Russians launched 11 cruise missiles on eastern Ukraine; 9 of them were shot down by air defence systems.
Source: press service of Air Force Command Skhid (East)
Quote: "On Sunday evening, the enemy launched a missile strike on the Command’s area of responsibility. In total, the enemy has used 11 cruise missiles."
Team Andunje Warusi wa Mchongo toka Buza sijui wamejificha wapi?🤔
 
akili mgando hawajifunzi tangu wavamie ukraine russia mbinu yao ni ileile.
wenzao ukraine wakianza kurushiwa makombora hawaend kama mingombe wanatulia kwanza.
wakiona makombora mnayorusha ni usless wanasonga wakiona ni konk wanatulia wanamsoma mpinzani

russia nae akiona ukraine wametulia analeta wanajesh maelfu kutawala. asijue mwenzie anawasoma.

ghfla akija kujibu ukraine haanzi na wanajeshi walio ingia kutawala anaanza na backups mnazozitegemea
hivyo kikos cha russian kinawekwa kwenye traps
wakianza counteroffensive inakua ni maafa.
maana askar wa russia wanakua hawana backup.

inakua runing for your life. na Ukraine hapigani kufukuza majeshi ya russia UKRAINE ANAPIGANA kuangamiza majeshi ya russia.

ndo mana unaona ukraine anafanikiwa lakin hana muda na mateka anao pata na wala hawatangazi kama kuna mateka wa kirusia walio patikana. View attachment 2354757
Nachopenda wabongo ni wajuz san wa kuchambua mambo mbalimbali,soka,siasa,ngumi,vita n.k ila ajabu ya kwetu yanatutoa jasho kweli kweli....total failure.
 
Hapa kaz tuu kwenye anga Ukraine siyo maboya ,tafuten mmekosea wap
getApp

Russians launch 12 missiles on eastern Ukraine, 9 of them shot down by air defence units​

Ukrainska Pravda
Sun, September 11, 2022 at 11:00 PM·1 min read
1dd6d737b858120b5624137ff5051ec7

VALENTYNA ROMANENKOSUNDAY, 11 SEPTEMBER 2022, 21:44
On the evening of 11 September, Russians launched 11 cruise missiles on eastern Ukraine; 9 of them were shot down by air defence systems.
Source: press service of Air Force Command Skhid (East)
Quote: "On Sunday evening, the enemy launched a missile strike on the Command’s area of responsibility. In total, the enemy has used 11 cruise missiles."
Hayo matatu yametua wapi na yameacha uharibifu gani?
 
Ila naamini ipo siku Putin ataacha hii vita jinsi anavyopigwa kama sio Taifa kubwa ile kauli yake ya atakaeingilia kati atakiona kipo wapi maana naona USA anatangaza hela alizotuma pamoja na misaada mingine utadhani sio yule Mrusi akiwapiga mkwara hao USA na ndugu zake sikuyaamini yale maneno yake na kweli imetokea hivyo...
 
Back
Top Bottom