International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Putin amewaonya West kuwa Russia inayo silaha zakutosha na kuifyeka NATO ======== Russian President Vladimir Putin has announced that 300,000 reservists will be drafted into the army in a...
12 Reactions
86 Replies
7K Views
Kwakuwa tunapeana updates za vita basi salamu baadae. Katika kuonesha kuwa sasa hawatanii Urusi imeamua kumuita Jenerali Mstaafu Pavel ambaye alipigana Afgan war kwenda kuongoza kundi la elites...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Wengi hawafahamu hilo, wanafikiri ni Muingereza, lkn ukweli ni kwamba Malkia Elisabeth ni Mjerumani na walibadilisha jina lao baada ya Vita Kuu ya Dunia na kujiita Windsor, original waliitwa...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Russian President Vladimir Putin threatens the West on Wednesday, noting that “we have lots of weapons to reply, it is not a bluff.” 2/Masaa 72 nitakuwa nimeichukua Ukraine Yote na kumweka mamluki...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bloomberg wanaripoti Umoja wa Ulaya upo mbioni kulegeza vikwazo vya makaa ya mawe kutoka Urusi. NB: Du!
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo. Maduro...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa...
27 Reactions
122 Replies
15K Views
Nchi ya Japan itatumia zaidi ya dola za Kimarekani milioni 1.83 kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Shinzo Abe baadae septemba 27 mwaka huu. Uratibu na gharama zote za mazishi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo...... A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Guys nimeshindwa kujizuia na nimeona why not have it here in SIASA after all he has proved kuwa wazee muda wao umekwisha and whats more? I have a friend ambaye ame camp na team OBAMA in New...
0 Reactions
8K Replies
673K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake ya jioni kwamba shambulio la kombora kwenye bwawa la Krivoy Rog halitaokoa ari ya wanajeshi wa Urusi. "Waligundua kuwa amri ya Urusi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Eritrea wamefanya mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, msemaji wa kundi la waasi la Tigrayan, TPLF, amesema. Mjumbe wa Marekani alisema kuwa Marekani inafahamu...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
DESTURI. Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao. Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…