WHAT is the Visa Lottery
Visa Lottery is the popular name for the yearly U.S. Diversity Visa (DV) Program. Its purpose is to bring in immigrants from countries that contribute a low number of...
Wanateseka kutoroka huku wakiburuza majeruhi wao, jameni aliyewaponza yuko Kremlin anapiga gongo la Vodka ametulia hana habari.
The Russians were seen evacuating around 150 wounded soldiers in...
Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote...
Hali inazidi kuwa mbovu kwa Warusi kwenye nchi ya watu.....
Ukrainian forces sank a Russian barge transporting troops, equipment and weapons across the major river crossing, Ukraine’s Operational...
Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia...
Nchi za wenzetu wanajuwa wanafanya nini huku viongozi wanajuwa kujilimbikizia mali na kusifiwa na watu wao!tanzania ni nchi yenye neema ya kila kitu lakini wananchi wake ni maskini wakutupwa huku...
Nyukilia ni silaha ya mwisho kabisa silaha zote ilizonazo nchi zikishindwa vitani
Tishio la Russia kutumia Nyuklia ni ushahidi wa wazi kuwa silaha alizonazo Urusi zimeshindwa kazi uwanja wa vita...
Majeshi ya Ukraine yanakaribia kuliteka jiji la KRYMINA lililopo katika Jimbo la Luhansk. Hi ni baada ya kuuteka mji wa TORSKE na vijiji vinavyouzunguka mji huo. Jiji la Krymina lipo umbali wa...
Duh sikujua jamaa wapo hadi nchi maskini kama Burkina, walivamia na kuua madereva na wafanya kazi wa msafara wa chakula uliokua unasafiri kwenda kusaidia vijiji vyenye njaa...
The ambush, claimed...
Takriban watu 17 wameuawa katika mashambulizi ya makombora ya Urusi katika mji wa kusini-mashariki wa Zaporizhzhia, wizara ya ulinzi ya Ukraine imesema.
Makumi wengine walijeruhiwa, na majengo...
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwae Emmy ,alikua amesinzia huku amemuegemea rafiki yake darasani katika shule iliyoshambuliwa kwa risasi huko Kaskazini mwa Thailand , wakati muuaji alipovunja...
JE, WAJUA MGOGORO HUU UNA HISTORIA NDEFU TOKA ENZI ZA MANABII:-
1. IBRAHIM (ALIISHI MIAKA 1900 BC)
2. ISAKA & ISMAIL
3. YAKOBO (YACOUB)
MWANDISHI MUAANDAAJI NI:-
MASUDI RUGOMBANA.
Israel ni...
Hivi Waafrika tutaendelea kusubiria Mzungu ndio atusaidie hadi lini?
Ni vyema tukawa na suluhisho la Afrika kwa matatizo ya Afrika..
Somalia imekumbwa na Ukame mwaka wa 4 mfululizo na watu Sasa...
Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa...
Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita...
Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi...
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 07, 2022 02:36 UTC
[https://media]
Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza...
Zaidi ya nusu ya Wanajeshi wa Urusi waliohamasishwa (Mobilized) wamerudishwa makwao baada ya uchunguzi kuonesha kwamba hawana sifa za Kuingia kwenye uwanja wa Mapambano katika Vita vinavyoendelea...
Wajuzi wa mambo!
Russia alitegemea jeshi la Ukraine lita surrender na kukubaliana na matakwa yao ikiwemo kutokujikurubisha na NATO na Ukraine kutumika kama njia ya kuishambulia Russia, lakini...