Angalieni video hii ya dubai kabla na baada

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,978
Reaction score
4,912
Nchi za wenzetu wanajuwa wanafanya nini huku viongozi wanajuwa kujilimbikizia mali na kusifiwa na watu wao!tanzania ni nchi yenye neema ya kila kitu lakini wananchi wake ni maskini wakutupwa huku viongozi wakila kuku kwa mlija.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

hiyo ndiyo dubai bwana .
 
hiyo ndiyo dubai bwana .View attachment 2380828
Ujinga unaouona unafanywa na viongozi wa Tanzania ni chamtoto, ukifika Nchi kama Congo Kishansa ndio utapagawa zaidi. Yaani wanasiasa wachache wanafaidika na uwepo wa madini huku wananchi wao wa kawaida hawawezi kupata hata milo mitatu kwa siku.
 
What a comparison? Tuelendelee kuwasifu siyo?
 
Tanzania ina laana, fikiria mfadhili anajitolea kukipa chama cha siasa milioni 100 ili zijenge ofisi za chama.

Afu mwenyekiti anachukua na kwenda kula bata na familia yake Afrika kusini. Mpaka leo chama hicho hakina ofisi wala kituo.

Sasa wakishinda uchaguzi na kukabidhiwa hazina yetu unafikiri hali itakuaje?
Bora mamilioni hayo Sabodo angeenda kujenga shule ya watoto yatima na wenye ulemavu kuliko kuwapa hawa wachumia tumbo.
Screenshot_20220912-125326.jpg
 
Nchi za wenzetu wanajuwa wanafanya nini huku viongozi wanajuwa kujilimbikizia mali na kusifiwa na watu wao!tanzania ni nchi yenye neema ya kila kitu lakini wananchi wake ni maskini wakutupwa huku viongozi wakila kuku kwa mlija.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

hiyo ndiyo dubai bwana .View attachment 2380828
dubai inamali ghali kama mafuta na wanajua kuzitumia rasilimali zao huwezi fananisha na tz taifa letu kimaendeleo bado tunajitafuta ishu si viongozi

1.elimu
katika eneo hili tunafeli kwa kutokuwa na mitaala inayoeleweka kwa hivyo kuzalisha wasomi wanaoxhindwa kupambana katika soko la dunia .hayo yote yanayofanywa na falme za kiarabu sababu wanawasomi wakutosha huwezi fanikisha hayo kama wabunifu wakudunduliza
2.fedha mpaka leo hii pamoja na kuwa na rasilimali nyingi lkn mairadi mingi inatengenezwa kwa kutegemea msaada toka kwa hisani watanzania wengi tumekuwa hatuna elimu ya kutosha na suala la kodi linapojitokeza hilo tumekuwa tukiamini viongozi wanaobuni hivo ni matakwa ya matumbo yao hatuwezi songa kama rasilimali fedha ni changamoto huwezi shindana na mataifa yenye hivo vitu viwili waakuacha mbali tu
 
Ujinga unaouona unafanywa na viongozi wa Tanzania ni chamtoto, ukifika Nchi kama Congo Kishansa ndio utapagawa zaidi. Yaani wanasiasa wachache wanafaidika na uwepo wa madini huku wananchi wao wa kawaida hawawezi kupata hata milo mitatu kwa siku.

Hii comparison haimaabish ndio wandelee na ujinga huo
 
Tanzania ina laana, fikiria mfadhili anajitolea kukipa chama cha siasa milioni 100 ili zijenge ofisi za chama.

Afu mwenyekiti anachukua na kwenda kula bata na familia yake Afrika kusini. Mpaka leo chama hicho hakina ofisi wala kituo.

Sasa wakishinda uchaguzi na kukabidhiwa hazina yetu unafikiri hali itakuaje?
Bora mamilioni hayo Sabodo angeenda kujenga shule ya watoto yatima na wenye ulemavu kuliko kuwapa hawa wachumia tumbo.
View attachment 2380873
Ni hatari tupu kila sehemu kuna mabomu tuu.
 
dubai inamali ghali kama mafuta na wanajua kuzitumia rasilimali zao huwezi fananisha na tz taifa letu kimaendeleo bado tunajitafuta ishu si viongozi

1.elimu
katika eneo hili tunafeli kwa kutokuwa na mitaala inayoeleweka kwa hivyo kuzalisha wasomi wanaoxhindwa kupambana katika soko la dunia .hayo yote yanayofanywa na falme za kiarabu sababu wanawasomi wakutosha huwezi fanikisha hayo kama wabunifu wakudunduliza
2.fedha mpaka leo hii pamoja na kuwa na rasilimali nyingi lkn mairadi mingi inatengenezwa kwa kutegemea msaada toka kwa hisani watanzania wengi tumekuwa hatuna elimu ya kutosha na suala la kodi linapojitokeza hilo tumekuwa tukiamini viongozi wanaobuni hivo ni matakwa ya matumbo yao hatuwezi songa kama rasilimali fedha ni changamoto huwezi shindana na mataifa yenye hivo vitu viwili waakuacha mbali tu
We hujielewi kwamba nchi za uarabuni zina wadomi kuliko Tanzania ,hebu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kakojoe ulale , wale hawaendi hata shule Kwa taarifa yako , walichofanikiwa ni kutumia rasilimali walizo nazo efficiently ili kumfaidisha kila raia kuwa na maisha Bora
 
Ni hatari tupu kila sehemu kuna mabomu tuu.
Inashangaza kuona mleta mada yuko busy kufuatilia mambo ya Dubai, badala ya kufuatilia mambo ya hovyo yaliofanywa na viongozi wa vyama hapa nchini Tanzania.

Sijui viongozi wa vyama hivyo wametumia elimu au mzizi gani kuwafubaza kiakili vijana hawa wasione madudu yanayoendelea huko vyamani, na badala yake kuja na bahari za Dubai.

Inasikitisha sana.
 
We hujielewi kwamba nchi za uarabuni zina wadomi kuliko Tanzania ,hebu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kakojoe ulale , wale hawaendi hata shule Kwa taarifa yako , walichofanikiwa ni kutumia rasilimali walizo nazo efficiently ili kumfaidisha kila raia kuwa na maisha Bora
Na hiyo ndio Elimu yenyewe. Kutumia Raslimali za nchi kwa manufaa ya kila mwananchi ndio Elimu yenyewe. Watu Kama akina Andrew Chenge na Prof Tibaijuka wanaojiita Wasomi huku wanaiba Mabilioni ya walala hoi kwenye Magunia huwezi kuwaita Wasomi. Hao walikwenda Shule TU kutafuta Makaratasi yenye mihuri ya ufaulu (Vyeti). Wavaa KOBAZI Wengine wanajielewa. Nchi Kama Saudia Arabia,Quatar,Kuwait,Oman Ni watu wenye Raslimali zinazowanufaisha wananchi wote.
 
Tanzania bado haijapata uhuru. Baada ya uhuru, wahuni na mafisadi ambao ni puppets wa west ndio wameshika usukani. Familia zao zina-enjoy of course. Ni nchi ambayo haina dira kama taifa. Haina malengo,yaani ni bora liende.

Bila kufanya mageuzi makubwa, chama kikubwa kuondoka madarakani, hii nchi haitapata kupataka mabadiliko makubwa. Lingine jambo la kushangaza, ukizingatia Tanzania ilikuwa mbele kupigania uhuru wa nchi nyingine. Nchi za Afrika zilitegemea kuona Tanzania inatoa dira hasa influence katika mambo ya utawala bora, maendeleo, uchumi na hata uwezo wa kijeshi. Tumebaki kama tumelogwa. Taifa waoga wa kufanya maamuzi magumu; na wale washenzi wanaua utaifa wetu ndio wanaoshika hatamu.
Jambo pekee ambalo tumeweza ni kuushinda ukabila na kutumia kiswahili kama kiunganishi. Na hilo baadaye linaweza kutokomea au kuharibiwa na maadui wa nchi hiii.
 
Back
Top Bottom