Vita ya DR Congo ni ya ukabila tu

Vita ya DR Congo ni ya ukabila tu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Nimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu

Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki

Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii

Na serekali ya Kongo wakisema wanapigana vita hii kwa bahati nzuri wakashinda kuna baadhi ya wanyarwanda ambao watakimbilia Kongo na baada ya miaka kazaa na wao watajiita wanyamulenge sio wanyarwanda tena na hiyo itakuwa vurugo juu ya vurugo

Hawa M23 ni kikundi ambacho kinatatetea haki za wanyarwanda wakongo ambao wanasumbuliwa na maimai kikundi cha wabembe wanao tetea haki za wabembe wenzao ili kumaliza matatizo haya

Ina bidi serekali ya Kongo wafanye nguvu saana kuwaunganisha haya makabila mawili haya ya kiungana basi na amini amani ya Kongo itarudi vizuri

Wakikataa kuungana basi wajue apo kutakuwa na mataifa makubwa ambayo yanaingiza mkono wao kuwachonganisha hawa watu ili wazidi kupigana wao wapate faida
 
Huyu jamaa hana fact kuhusu anachokiandika
 
Mkishaanza kuuana tu, mmekwisha. Uhasama utadumu.
 
Huwezi kuondoa ukabila mpaka mwisho wa dunia..kwa vile Yanakuwa na mitazamo tofauti kama dini vile... ukitaka kuondoa ukabila watu bado watajua kutokana na majina ya ukoo....watu wanaishi sehemu tofauti wanakuwa na majigambo kila mtu anajiona yuko juu.

Haijalishi itakuwaje ila kuondoa ukabila ni ngumu sana hata kuyaunganisha hapa bongo ni kwa vile makabila ni mengi na ni machache ambayo yanajifanya yako juu ndo ndo hao wengine hawana time na mtu wako bussy na Maisha yao .
 
Nimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu

Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki

Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii

Na serekali ya Kongo wakisema wanapigana vita hii kwa bahati nzuri wakashinda kuna baadhi ya wanyarwanda ambao watakimbilia Kongo na baada ya miaka kazaa na wao watajiita wanyamulenge sio wanyarwanda tena na hiyo itakuwa vurugo juu ya vurugo

Hawa M23 ni kikundi ambacho kinatatetea haki za wanyarwanda wakongo ambao wanasumbuliwa na maimai kikundi cha wabembe wanao tetea haki za wabembe wenzao ili kumaliza matatizo haya

Ina bidi serekali ya Kongo wafanye nguvu saana kuwaunganisha haya makabila mawili haya ya kiungana basi na amini amani ya Kongo itarudi vizuri

Wakikataa kuungana basi wajue apo kutakuwa na mataifa makubwa ambayo yanaingiza mkono wao kuwachonganisha hawa watu ili wazidi kupigana wao wapate faida
sijapenda kwa kweli
 
Kwanini unawaita wanyarwanda wa Congo kwani hakuna warundi wa Congo mkuu? Kwanini wao tu
 
Mbona kipindi kile kikwete aliwatimua watusi hapa hawakutuma jeshi waone
 
Back
Top Bottom