Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya...
Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi...
Mubarak Isa Muhammed na Muhammed Bula wamehukumiwa kuchapwa viboko 20 kila Mmoja na kulazimishwa kusafisha Mahakama kwa Siku 30, baada ya kukutwa na hatia ya kutumia Mitandao ya Kijamii kumkashifu...
Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu
Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya...
Pape Alé Niang, ambaye anaendesha tovuti ya habari ya Dakar Matin, inayosifika kwa kuikosoa Serikali, amekamatwa kwa tuhuma za kusambaza habari zinazoweza kudhuru usalama wa nchi hiyo
Vyombo vya...
Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa.
Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya...
Kutokana na picha hiyo hapo juu dunia inapata somo gani kwa USA kushiriki parade ya pamoja ya victory day may 9 katika viwanja vya red square moscow miaka michache iliyopita?
Chama kikuu cha upinzani cha DA nchini Afrika Kusini kimeilaani serikali kwa kufanya mazoezi ya pamoja ya jeshi la wanamaji na Urusi, na kuyataja kuwa "kiziwi wa sauti" na "kosa kubwa la uamuzi"...
Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma
Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya russia Verstka, vilivyofuatiliwa kutoka Voronezh ambapo jeshi la ukraine lilifyeka batalion ya wegner na kuangamizwa karibu na Makiivka katika mkoa wa Luhansk...
Na Eric Biegon - NAIROBI
Ukuaji wa kasi wa China hasa katika kuafikia uwezo mkubwa wa kiuchumi ulimwenguni umekuwa suala la kuzungumziwa katika karne hii. Kwa muda, uchumi wa nchi hiyo umeimarika...
Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi
Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi...
Wizara ya Mambo ya Nje ilishutumu safari hiyo kama "kizuizi cha kisiasa"
Uchina imelaani safari ya hivi majuzi ya Taipei ya wabunge kutoka mataifa kadhaa ya Ulaya na EU yenyewe, ikisisitiza...
Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?
Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au...
MAJARIBIO YA ROCKET YA MWEZINI YATAANZA MUDA MCHACHE
Muda mchache kuanzia sasa Majaribio ya urushwaji wa rocket itakayotumika katika safari mbalimbali za mwezini na anga za mbali kwa ujumla...
Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala.
Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na...
Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.