JESHI LA UKRAINE lafyeka battalion ya Wegener Luhansk

JESHI LA UKRAINE lafyeka battalion ya Wegener Luhansk

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya russia Verstka, vilivyofuatiliwa kutoka Voronezh ambapo jeshi la ukraine lilifyeka batalion ya wegner na kuangamizwa karibu na Makiivka katika mkoa wa Luhansk. Kati ya 570, ni 41 tu walionusurika.

41 wamenusurika 41 tu ili kutuletea habari.

 
Hiyo battalion ya megner itakuwa haina lolote ni mikwala Tu kuwa ni makomandoo kumbe ni walevi Tu unga, Russia hawezi kupata ushindi ndani ya ardhi ya Ukraine
Ni yale makomandoo wa Afghanistan ambao Iran anasaidia ku-recruit kwa niaba ya Russia ambao tulihabarishwa humu watakuwa eanalipwa USD 1,500 monthly may be.

Inapukuja battle ya face to face Mrusi kwa Ukraine arudi shule.
 
HAKUNA Jambo Kama Hilo hizo ni propaganda, ila WAUKRAINE 98 ndio wamekufa na Urusi imesonga mbele.
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya russia Verstka, vilivyofuatiliwa kutoka Voronezh ambapo jeshi la ukraine lilifyeka batalion ya wegner na kuangamizwa karibu na Makiivka katika mkoa wa Luhansk. Kati ya 570, ni 41 tu walionusurika.

41 wamenusurika 41 tu ili kutuletea habari.

Putin keshaharbu suruali,tatizo ni kabishi sana
 
Back
Top Bottom