International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

DRC hatuwezi kupata amani hata siku moja tusipo achana na hili Ukabila hiki ni kitu ampka sasa hivi ndo kinapoteza DRC inawezekana kweli Rwanda wakawa wanachangia kuiba Mali za DRc au kuleta...
1 Reactions
4 Replies
710 Views
MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo...
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Ukraine imesema itatoa msaada wa nafaka tani 27,000 kwa Ethiopia taarifa imetolewa na Wizara ya miundombinu ya Ukraine. Pia Ukraine imesema itatoa msaada wa tani 50,000 za ngano kwa Ethiopia na...
2 Reactions
4 Replies
602 Views
Inflation in Italy highest since 1984 Consumer price growth was led by soaring energy and food costs, official data shows © Getty Images / Karl Weatherly Italy’s domestic price index jumped...
1 Reactions
6 Replies
784 Views
Mwanasiasa wa upinzani Fadel Abdelkefi amesema askari Polisi wakiwa hawana kibali chochote walimzuia kusafiri alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Carthage licha ya kuwa hana mashtaka wala kizuizi...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain? Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa...
16 Reactions
165 Replies
9K Views
Salama wandugu, Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin. Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa...
4 Reactions
4 Replies
859 Views
Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi Maofisa wa Marekani ambao...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii...
7 Reactions
401 Replies
20K Views
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe. Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Democrats have retained the Senate – doing no worse than holding steady at 50 seats and potentially gaining one – and look likely to keep any net losses in the House in the single digits...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi "Ili kuifanya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo...
17 Reactions
121 Replies
7K Views
Imetafsiriwa kutoka gazeti la India Times WAZIRI Mkuu wa India Narendra Modi amesema kitendo cha India kupata nafasi ya kukaa kwenye kiti cha Urais kutoka nchi zenye UCHUMI Mkubwa duniaani G20...
1 Reactions
3 Replies
636 Views
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Illustrative image: sperm moving towards an egg (iStock via Getty Images) Sperm counts worldwide have plummeted by 62 percent since 1973, according to new Israeli-led research. The study sounds...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…