Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran.
Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani...
ina ukubwa wa km za mraba 752 617 tofauti siyo kubwa sana na tanzagiza km za mraba kama 947 000, zambia ina watu milioni 20 tu vs tanzagiza zaidi ya milioni 60, hivyo zambia ni tupu kabisa, na 95%...
Kilometer 4000 sio mchezo maana mwanzo nilidhani yanapiga mpaka kilometer 2000 tu...Hii ni message iran wanatuma
[emoji599][emoji599][emoji599] IRAN JUST FIRED A BALLISTIC MISSILE AT A...
Wanaukumbi.
🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal.
Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, akizungumza na Al Jazeera leo Machi 18, 2026 amesema
Mfumo wa kisiasa wa Iran haujayumbishwa na mashambulizi ya kijeshi wala mauaji ya maafisa...
Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa...
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha...
Fairchild Republic A-10 Thunderbolt II ni ndege ya kijeshi ya Marekani iliyoundwa mahsusi kwa mashambulizi ya karibu (close air support), ikiwa na uwezo mkubwa wa kushambulia malengo ya ardhini...
Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia...
Maafisa wa jeshi la Marekani wanafanya maandalizi ya kina wa kupeleka wanajeshi wa ardhini nchini Iran, kwa mujibu wa mshirika wa BBC nchini humo, CBS News, ikinukuu vyanzo kadhaa visivyotajwa...
Namuonea huruma sana huyu waziri wa mambo ya nje ya Irani,mtu mpole,mtu mwema na aliyeelimika vizuri sana,maana atauawa hivi karibuni,natamani atoroke Iran
Wanaukumbi.
Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz
Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa.
Trump alianzisha vita ambavyo sehemu...
Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi
Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa...
Wandugu
Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata...
Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo.
Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
Ukisikia kila kazi inachangamoto yake ndio hii, na moja ya watu wanakutana na changamoto ni Waandishi wa Habari.
===========
Waandishi habari wakati mwingine hujikuta katika mazingira hatari...
Kombora la Iran lapigwa karibu na Hekalu la Temple Mount huko Yerusalemu.
Kwa upande mmoja unaona utawala wa Kiislamu unaolenga Yerusalemu, ikiwa ni pamoja na maeneo matakatifu, na kwa upande...