International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
08 DECEMBER 2022 Former German Chancellor Angela Merkel yesterday admitted that her participation in the Minsk Agreements between Ukraine and Russia in 2014 and 2015, was a deliberate...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe. Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC)...
2 Reactions
5 Replies
735 Views
Umoja wa Mataifa umeonesha wasiwasi juu ya Sheria Mpya ya Uhalifu na kuonya sheria zilizorekebishwa zinaweza kusababisha mmomonyoko wa Uhuru wa Vyombo vya Habari, faragha na Haki za Binadamu...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Punguzo hilo linaweza kusaidia Ankara kuzuia kupanda kwa bei ya nishati, 'The outlet reports' Ankara inatafuta kupunguzwa kwa bei kwa zaidi ya 25% ya gesi asilia ya Urusi, Bloomberg iliripoti...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza... Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
TUTAIPIGA URUSI KILA KONA YA NCHI. Kiongozi mmoja wa Ukraine ambaye ni mshauri wa jeshi la ulinzi amesema kwamba, watahakikisha hakutokuwa na ukomo wa makombora yao yatakayoishambulia Urusi...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukraine ilipiga kambi mbili za Urusi nchini urusi mamia ya maili kutoka mpaka wake kwa kutumia drones za enzi za Usovieti za Tu-141 zilizofanyiwa marekebisho. Marekebisho hayo yanaonyesha uwezo...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Kama ilivyo Ada Dunia inazidi kuwaamini wanawake huku Marais wa Kiume wakionekana Ni mafisadi wasiojali. Hii inajili baada ya Bunge la Peru kumuondoa Madarakani Rais...
1 Reactions
7 Replies
550 Views
Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Notice to Moderators:This is an important post to Tanzanians and all of humanity,please let everybody read it.Do not accept to be used as a tool in the evil being carried out against humanity...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran. Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Piga ua Zaragaza zika fukua Volodymyr Zelenskyy rais wa Ukraine lazima awe Times Person of the year 2022. Tutamlaumu Putin kwa kumkosesha Mwamba Freeman Mbowe hii nafas. Ilishapangwa na Ilibidi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Baadhi ya watu wanakula chakula cha wanyama wafungwao 'Pet' wakati wengine wanajaribu kupasha chakula kwenye radiator. Haya yamesemwa na Mark Seed, mkurugenzi wa mradi wa chakula cha jamii huko...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mashambulizi ya Russia kuharibu miundombinu ya umeme in hatari asema Mayor was Kiev. Kiev mayor warns of ‘apocalyptic’ winter Be prepared to evacuate but don’t panic, Vitaly Klitschko tells...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Back
Top Bottom