International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Mdemokrati Raphael Warnock Amemshinda Uchaguzi wa marudio wa kiti Cha Useneta katika Jimbo lililokuwa na ushindani mkali la Georgia siku ya Jumanne,na kuongeza udhibiti wa Chama chake katika Jimbo...
1 Reactions
4 Replies
703 Views
Putin drives over repaired Crimean Bridge (VIDEO) The strategic landmark was damaged by a massive explosion that Moscow blamed on Kiev President Vladimir Putin visited the Crimean Bridge on...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Aminu Adamu (24) alikamatwa kutokana na ujumbe wa Twitter ambapo anadaiwa kumtuhumu mke wa Rais kwa kutumia vibaya pesa za umma na kushtakiwa kwa kueneza habari za uongo Kukamatwa na mashtaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mliokua mkikejeli madubwana yaliyopelekwa Ukraine ya kulinda dhidi ya drones, mkachekelea kwamba hayana kazi, haya hapa matokeo yake, drones zinapigwa chini hamna hata moja inamudu kupita...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu. Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi. Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Safari ya kufika Crimea bado iko pale pale, Zelensky ametembela eneo la Sloviansk ambalo lilikua limekaliwa na Warusi tangu 2014 na sasa lipo mikononi mwa wazalendo wa Ukraine. Vita kwa sasa...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
According to a French billionaire and RDH President Philippe Argillier, the World Deep State a.k.a. Shadow Government infrastructure is behind World Governments officials who are paraded in front...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Muungano wa zamani wa chama tawala cha Kiraia nchini humo (FFC-CC) na Serikali ya Kijeshi wanatarajiwa kutia saini makubaliano ya mfumo unaolenga kurejesha Serikali ya Kidemokrasia Makubaliano...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Vita vya Ukraine vimeingia hatua nyengine. Hatua hii ni mrusi kuvunja na kubomoa vituo vya maji na umeme nchi nzima katika kipindi cha baridi. Katika mashambulio ya leo ambayo Ukraine...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi...
1 Reactions
1 Replies
480 Views
Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Industry leaders see India’s G20 presidency as something they can benefit from, with CII director general Chandrajit Banerjee saying it's a unique opportunity for businesses. TCA Sharad Raghavan...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Tafsiri kutoka gazeti la The Print. DISEMBA Mosi Mwaka huu India ilianza rasmi kuongoza nchi zenye uchumi mkubwa duniani maarufu kwa jina la G20,huku Matarajio ya wadau mbali mbali katika uongozi...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki. Zaidi...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook. Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Back
Top Bottom